-
Zarif: Marekani ingali inakiuka haki za Wamarekani weusi
Jan 22, 2019 08:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kumkamata, kumadhalilisha na kumzuilia kinyume cha sheria, mwandishi wa habari wa Press TV, Marzieh Hashemi imeweka bayana tena namna nchi hiyo inavyokiuka haki za kiraia za Wamarekani wenye asili ya Afrika.
-
Mtangazaji wa televisheni Ubelgiji ajiuzulu kwa sababu ya kutusiwa kutokana na rangi ya ngozi yake
Sep 29, 2018 02:44Mtangazaji mwenye asili ya Kiafrika wa kipindi cha hali ya hewa katika televisheni ya taifa nchini Ubelgiji amelazimika kuacha kazi baada ya kupokea jumbe kadhaa za matusi ya ubaguzi kwa sababu ya rangi ya ngozi yake.
-
Wanafunzi wenye asili ya Afrika wazidi kunyanyaswa na polisi wa Marekani
Sep 24, 2018 02:57Matokeo ya uchunguzi uliosambazwa hivi karibuni kabisa unaonesha kuongezeka ukandamizaji na unyanyasaji wa polisi wa Marekani dhidi ya wanafunzi wa shule za msingi na za sekondari wenye asili ya Afrika katika mji wa Philadelphia.
-
Kafichuliwa kashfa nyingine ya ukatili wa polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusi
Sep 04, 2018 13:46Kusambaa filamu nyingine ya ukatili wa polisi wa Marekani dhidi ya raia wa nchi hiyo mwenye asili ya Afrika, kumeibua utata.
-
Unyanyasaji wa polisi kwa watu wenye asili ya Afrika ni mkubwa zaidi Chicago Marekani
Aug 19, 2018 15:21Vyombo vya habari vya Marekani vimeandika kuwa kiwango cha unyanyasaji unaofanywa na jeshi la polisi la nchi hiyo dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ni mara 14 zaidi ikilinganishwa na Wazungu.
-
CNN: White House haina hata afisa mmoja mwandamizi Mmarekani mwenye asili ya Afrika
Aug 15, 2018 02:37Kanali ya televisheni ya CNN imeripoti kuwa katika maafisa waandamizi 48 wanaohudumu kwenye Ikulu ya rais wa Marekani, White House hakuna hata mmoja miongoni mwao ambaye ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika.
-
Seneta Sanders alaani ukatili wa polisi wa Marekani dhidi ya watu weusi
Mar 27, 2018 16:24Seneta Bernie Sanders wa chama cha Democrat nchini Marekani amekosoa ukandamizaji mkubwa wa polisi ya Marekani dhidi ya watu wenye asili ya Afrika nchini humo.
-
Wanafunzi Marekani wenye asili ya Afrika na Latini waendelea kubaguliwa mno katika shule
Jan 12, 2018 04:46Matokeo ya ripoti mpya ya uchunguzi yanaonyesha ongezeko la hali ya juu la umasikini na ubaguzi dhidi ya wanafunzi wenye asili ya Kiafrika na malatino, katika shule za Marekani.
-
Zaidi ya asilimia 90 ya Wamarekani wenye asili ya Afrika hawaridhishwi na utendaji wa Trump
Sep 28, 2017 07:56Uchunguzi wa maoni uliofanywa na Chuo Kikuu cha Quinnipiac nchini Marekani unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 90 ya raia weusi wa nchi hiyo wenye asili ya Kiafrika hawaridhishwi na utendaji wa Rais Donald Trump.
-
Gallup: Wamarekani weusi zaidi 220 wameuawa na polisi ya nchi hiyo mwaka uliopita
Aug 27, 2017 02:39Zaidi ya Wamarekani 220 wenye asili ya Afrika wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi ya nchi hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.