-
NATO inayoongozwa na Marekani yakumbwa na sakata la ufisadi
May 16, 2025 06:48Imefichuka kuwa, nchi nyingi duniani zimeanzisha uchunguzi wa rushwa katika mfumo wa ununuzi wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) linaloongozwa na Marekani.
-
Jumatano, Mei 14, 2024
May 14, 2025 02:40Leo ni Jumatano tarehe 16 Mfunguo Pili, Dhulqaada, 1446 Hijria sawa na tarehe 14 Mei 2025 Milaadia.
-
Trump: Ukraine ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha mzozo na Russia
Apr 26, 2025 05:36Rais wa Marekani, amedai kuwa maneno yake kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine kwa siku moja yalitiwa chumvi, na kusema kuwa Kiev ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha vita na Russia.
-
Kamanda Mkuu wa US Ulaya: Mauzo ya silaha za Marekani kwa Ulaya yameongezeka kwa 600%
Apr 09, 2025 06:34Kamanda Mkuu wa Marekani katika Kamandi ya jeshi la nchi hiyo barani Ulaya amesema, mauzo ya silaha za Marekani kwa nchi za Ulaya yameongezeka kwa asilimia 600 tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine na akaongeza kuwa, thamani ya kiwango cha silaha zilizoagizwa na nchi za Ulaya tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine hadi sasa imefikia dola bilioni 265.
-
Mamia ya familia zalazimika kukimbia baada ya RSF kushambulia vijiji Darfur, Sudan
Apr 08, 2025 09:42Mamia ya familia zimefurushwa kutoka vijiji viwili magharibi mwa Sudan baada ya mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF). Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM).
-
Ijumaa, Aprili 4, 2025
Apr 04, 2025 02:34Leo ni Ijumaa tarehe 5 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria sawa na 04 Aprili mwaka 2025 Milaadia.
-
Marekani na Ulaya zashindwa kukabiliana na changamoto za kimataifa
Mar 28, 2025 06:04Mark Rutte, Katibu Mkuu wa NATO amesisitiza juu ya umoja wa pande mbili za Bahari ya Atlantiki na kusema kuwa changamoto za kiusalama duniani ni kubwa kiasi kwamba Ulaya na Marekani pake yazo haziwezi kukabiliana nazo.
-
Mapatano mapya ya nchi za Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Mar 24, 2025 10:34Kwa kutilia maanani jaribio la utawala wa Trump la kuanzisha usitishaji vita nchini Ukraine kwa kuilazimisha ikubali masharti yaliyowekwa na Russia na upinzani wa nchi za Umoja wa Ulaya dhidi ya suala hili, na kwa upande mwingine madai ya baadhi ya viongozi wa Ulaya kuhusu vitisho vya Russia dhidi ya bara hilo, nchi hizo sasa zimechukua hatua mpya kwa ajili ya kukabiliana na Moscow.
-
Elon Musk aunga mkono kujiondoa Marekani katika UN, NATO
Mar 02, 2025 12:25Bilionea Elon Musk ametangaza hadharani kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa kutoka Umoja wa Mataifa UN na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO.
-
Trump: Ukraine 'isahau' kujiunga na NATO
Feb 27, 2025 10:59Rais wa Marekani Donald Trump amesema Ukraine "isahau" kujiunga na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), tamko ambalo ni pigo kwa azma ya muda mrefu ya nchi hiyo ya Ulaya, ambayo iliungwa mkono na Rais wa zamani Joe Biden.