-
Spika wa Bunge la Iran awatumia salamu za Ramadhani maspika wa mabunge
May 16, 2018 14:08Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, Ali Larijani amewatumia maspika wa mabunge ya nchi za Kiislamu salamu kwa mnasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Taarifa ya mwishoni mwa mkutano wa 13 wa mabunge ya OIC yalaani uamuzi wa Trump kuhusu Quds
Jan 18, 2018 03:41Mkutano wa 13 wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ulimalizika jana hapa mjini Tehran kwa kutolewa taarifa maalumu.
-
Larijani: Ni jukumu la nchi za Kiislamu kufanya juhudi za kupunguza hitilafu
Jan 15, 2018 14:26Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria njama za maadui waliokula kiapo dhidi ya Uislamu kwa ajili ya kupenya na kuzusha hitilafu miongoni mwa Waislamu na kusisitiza kwamba, ni jukumu la nchi za Kiislamu kuzuia kuenea hitilafu na mizozo katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Dakta Larijani: Mafanikkio ya nchi za Kiislamu yapo katika umoja na mshikamano wao
Dec 14, 2017 06:49Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria matukio ya eneo la Masharikki ya Kati na kusema kuwa, kama nchi za Kiislamu zinataka zipate mafanikio, basi zinapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja na kupiga hatua kuelekea upande mmoja.
-
Iran yapendekeza kuundwa kambi tofauti za kiuchumi katika nchi za Kiislamu
Nov 22, 2017 03:04Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuundwa kambi tofauti za kiuchumi katika nchi za Kiislamu kulingana na uwezo wa nchi husika kwa shabaha ya kupanua hisa ya nchi hizo katika uchumi wa kimataifa ni jambo la dharura.
-
Larijani: Inafedhehesha nchi za Kiislamu kuafikiana na utawala wa Kizayuni na Marekani kuwaua Waislamu
Apr 20, 2017 07:07Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) ya Iran amesema ni jambo la kufedhehesha kwa baadhi ya nchi za Kiislamu kuafikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani juu ya kuwavurumizia mabomu ya vishada Waislamu.
-
Hatua mpya ya Trump dhidi ya Waislamu
Jan 29, 2017 03:51Kwa mujibu wa amri iliyotiwa saini na Rais Donald Trump wa Marekani chini ya anwani ya kulinda taifa mbele ya kuingia magaidi wa kigeni katika ardhi ya Marekani, ni marufuku kutolewa viza za kuingia Marekani kwa raia wa nchi ambazo eti zina madhara kwa maslahi ya Marekani kwa kipindi cha siku 90.
-
Spika wa Bunge la Iran asisitiza kustawishwa uhusiano na nchi za Kiislamu
Nov 14, 2016 04:08Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Iran inachukua hatua kwa lengo la kustawisha uhusiano wa pande zote na nchi za Kiislamu na za Kiarabu
-
Taasisi ya Misri yataka kuundwa kamati ya Kiislamu ya kusimamia Hija
Sep 07, 2016 13:28Taasisi moja ya nchini Misri kwa jina la "Taasisi ya Uadilifu na Ustawi wa Haki za Binadamu imezitaka nchi za Kiislamu ziasisi kamati ya Kiislamu kwa ajili ya kusimamia masuala ya Hija.
-
Rais Rouhani ahutubia kikao cha viongozi wa OIC
Apr 14, 2016 14:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano baina ya nchi za Kiislamu ni kati ya vipaumbele vya awali vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.