-
Ripoti: Waganda milioni 4 wanakabiliwa na baa la njaa
Mar 28, 2016 09:07Ripoti mpya imeonyesha kuwa mamilioni ya wananchi wa Uganda wanakabiliwa na baa la njaa. Asilimia 11.8 ya Waganda, ambayo ni zaidi ya watu milioni 4 wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na umaskini na ugumu wa maisha.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu mgogoro wa kibinadamu nchini Swaziland
Feb 28, 2016 13:01Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa maelfu ya watu nchini Swaziland wako katika hatari ya kukumbwa na baa la njaa kutokana na nchi hiyo kuathiriwa na uhaba mkubwa wa chakula uliosababishwa na ukame mkubwa uliotokana na el Nino.