Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Oman

  • Haitham bin Tariq Aal Said, ateuliwa kuwa Sultan mpya wa Oman

    Haitham bin Tariq Aal Said, ateuliwa kuwa Sultan mpya wa Oman

    Jan 11, 2020 04:36

    Bw. Haitham bin Tariq Aal Said ameteuliwa kuwa Sultan mpya wa Oman baada ya kutangazwa habari ya kufariki dunia Sultan Qaboos wa nchi hiyo usiku wa kuamkia leo Jumamosi.

  • Sultan  Qaboos wa Oman ameaga dunia, siku tatu za maombolezo ya kitaifa zatangazwa

    Sultan Qaboos wa Oman ameaga dunia, siku tatu za maombolezo ya kitaifa zatangazwa

    Jan 11, 2020 01:21

    Sultan Qaboos bin Said wa Oman ameanga dunia mapema leo Jumamosi akiwa na umri wa miaka 79

  • Bin Alawi: Iran na Oman zinachukua hatua kwa ajili ya usalama wa eneo

    Bin Alawi: Iran na Oman zinachukua hatua kwa ajili ya usalama wa eneo

    Jan 07, 2020 08:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inachukua hatua kwa ajili ya kudhamini usalama wa eneo la Ghuba ya Uajemi na Oman pia inashirikiana na Tehran katika uwanja huo.

  • Oman yajiandaa kumtangaza mrithi wa utawala baada ya hali ya afya ya Sultan Qaboos kuzidi kuwa mbaya

    Oman yajiandaa kumtangaza mrithi wa utawala baada ya hali ya afya ya Sultan Qaboos kuzidi kuwa mbaya

    Dec 26, 2019 04:02

    Ripoti za karibuni za vyombo vya habari zimeeleza kwamba, Oman inajiandaa kumtangaza mrithi wa utawala baada ya hali ya afya ya kiongozi wa nchi hiyo Sultan Qaboos bin Said Al Said anayeugua saratani ya utumbo kuzidi kuwa mbaya.

  • Dakta Zarif akutana na Naibu Sultani wa Oman na msemaji wa Ansarullah Muscat

    Dakta Zarif akutana na Naibu Sultani wa Oman na msemaji wa Ansarullah Muscat

    Dec 24, 2019 23:25

    Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Mohammad Abdul Salam, msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen nchini Oman.

  • Ijumaa, 20 Disemba, 2019

    Ijumaa, 20 Disemba, 2019

    Dec 19, 2019 21:37

    Leo ni Ijumaa tarehe 23 Mfunguo Saba Rabiuthani 1441 Hijria sawa na Disemba 20 mwaka 2019.

  • Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Oman na Qatar zataka kuimarisha uhusiano na Iran

    Dec 15, 2019 04:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema taifa hili linajivunia kuwa na uhusiano mzuri na wa udugu na Oman huku akisisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano huo.

  • Erdogan: Uturuki itatuma majeshi Libya ikiombwa kufanya hivyo

    Erdogan: Uturuki itatuma majeshi Libya ikiombwa kufanya hivyo

    Dec 10, 2019 09:07

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa, Ankara iko tayari kutuma majeshi nchini Libya iwapo serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo itaomba msaada huo.

  • Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zatiliana saini hati tatu za ushirikiano

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zatiliana saini hati tatu za ushirikiano

    Dec 08, 2019 01:15

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimetiliana saini hati tatu za ushirikiano katika uwanja wa viwango vya bidhaa, michezo na usafiri na uchukuzi wa baharini.

  • Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Tehran

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Tehran

    Dec 02, 2019 09:04

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Oman ambaye yupo safarini hapa Tehran, leo amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS