-
Jumamosi, 28 Septemba, 2019
Sep 27, 2019 23:07Leo ni Jumamosi tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria mwafaka na tarehe 28 Septemba 2019 Miladia.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani ndio chanzo hasa cha kukosekana amani katika eneo
Aug 08, 2019 08:01Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, muungano wa kijeshi unaotaka kuundwa na Marekani wa kisingizio cha kudhamini usalama wa vyombo vya majini ndio utakaosababisha kuvurugika zaidi amani na usalama katika eneo.
-
Oman yakanusha madai ya kutaka kuhuisha uhusiano wake na Israel
Jul 03, 2019 02:50Serikali ya Oman imekanusha vikali madai ya Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) aliyedai kuwa Oman ipo mbioni kuhuisha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala huo haramu.
-
MOSSAD: Israel kufungua 'ubalozi wake' nchini Oman
Jul 02, 2019 07:24Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unatazamiwa hivi karibuni kufungua Ofisi ya Uwakilishi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala huo katili nchini Oman.
-
Iran: Hatufanyi mazungumzo ya moja kwa moja, au yasiyo ya moja kwa moja na Marekani
May 27, 2019 04:03Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amepuuzilia mbali madai yaliyoenea hivi karibuni kwamba Tehran inafanya mazungumzo na Marekani kwa shabaha ya kupunguza taharuki baina ya nchi mbili.
-
Iran na Oman kuimarisha ushirikiano wao wa kijeshi na kiulinzi
Apr 15, 2019 03:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimeeleza hamu yao ya kuimarisha ushirikiano wao wa kijeshi na kiulinzi.
-
Larijani: Nchi za Kiislamu zimeitelekeza Palestina
Apr 08, 2019 03:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Ali Larijani ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya nchi za Kiislamu ya kuitelekeza na kuiweka pembeni kadhia muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu hivi sasa, ambayo ni Palestina.
-
Msimamo wa Oman wa kuiunga mkono Israel wakosolewa na Jordan
Apr 07, 2019 11:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan ametoa jibu kwa matamshi ya waziri mwenzake wa Oman ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kwamba, tatizo kuu ni ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Israel.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Marekani haiwezi kulazimisha kwa mabavu mpango wake wa "Muamala wa Karne"
Mar 19, 2019 23:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yusuf bin Alawi amesema: Marekani haiwezi kuutekeleza mpango wa "Muamala wa Karne" pasi na kukubali kuwepo nchi huru ya Palestina.
-
Lawama za Oman kwa nchi za Kiarabu zinazoendesha siasa za kiadui dhidi ya Syria na Yemen
Feb 20, 2019 03:19Yusauf bin Alawi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amehimiza kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) na kuzilaumu baadhi ya nchi za Kiarabu kwa kukwamisha jambo hilo. Bin Alawi ametoa kauli hiyo katika mazungumzo ya ana kwa ana na Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia.