Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Oman

  • Mfalme wa Oman atuma ujumbe wa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Mfalme wa Oman atuma ujumbe wa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 10, 2019 23:18

    Mfalme wa Oman Qaboos bin Said amemtumia ujumbe wa pongezi Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi halina nguvu yoyote

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi halina nguvu yoyote

    Jan 13, 2019 03:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) na Katibu Mkuu wake hawana nguvu yoyote. Mohammed Abdulrahman Aal Thani ameyasema hayo jana katika mazungumzo huko Doha na Abdullatif al Zayan Katibu Mkuu wa baraza hilo na Yusuf bin Alawi Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman.

  • Baraza la Fatwa la Oman lasisitiza: Haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Baraza la Fatwa la Oman lasisitiza: Haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Nov 03, 2018 00:31

    Baraza la Fatwa la Oman limesisitiza kuwa haijuzu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Baraza hilo limetoa sisitizo hilo likiwa ni jibu na radiamali kwa safari iliyofanywa hivi karibuni na Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu huko nchini Oman.

  • Siasa zisizo na mantiki za Oman, Muscat yafuata mkumbo na kusombwa na njama ya

    Siasa zisizo na mantiki za Oman, Muscat yafuata mkumbo na kusombwa na njama ya "Muamala wa Karne"

    Nov 02, 2018 02:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas huko Ramallah katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.

  • Tume ya maulama Saudia: Kufanya uhusiano na Israel ni kuyafanyia hiyana matukufu ya Palestina

    Tume ya maulama Saudia: Kufanya uhusiano na Israel ni kuyafanyia hiyana matukufu ya Palestina

    Oct 30, 2018 11:09

    Kamati ya maulama nchini Saudi Arabia imetangaza kwamba, kufanya uhusiano mwema na utawala haramu wa Kizayuni kwa aina yoyote ile, ni kuyafanya hiyana kubwa matukufu ya Palestina.

  • Ijumaa, Septemba 28, 2018

    Ijumaa, Septemba 28, 2018

    Sep 27, 2018 22:52

    Leo ni Ijumaa tarehe 18 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria sawa na Septemba 28, 2018 Milaadia.

  • Majeshi ya Iran, Oman kushirikiana katika setka za tiba

    Majeshi ya Iran, Oman kushirikiana katika setka za tiba

    Jul 28, 2018 09:23

    Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran litashirikiana na Jeshi la Oman katika sekta ya tiba katika fremu ya ushirikiano wa kiulinzi wa nchi hizi mbili jinrani.

  • Iran na Oman zazidi kuimarisha ushirikiano wao wa baharini

    Iran na Oman zazidi kuimarisha ushirikiano wao wa baharini

    Jun 27, 2018 03:29

    Kikao cha 17 cha kamati ya pamoja ya uchumi baina ya Iran na Oman kimehimiza kuimarishwa ushirikiano wa nchi mbili kupitia bandari ya Chabahar katika mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran.

  • Oman yasema haiwezi kuvumilia tena chokochoko za UAE

    Oman yasema haiwezi kuvumilia tena chokochoko za UAE

    Jun 08, 2018 20:53

    Migogoro inazidi kutokota katika Ghuba ya Uajemi baada ya Oman kuuonya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa haiwezi kuvumilia tena wizi wa turathi zake za kitaifia na haki za uvumbuzi.

  • Kimbunga kikali chaua watu 3 Oman, zaidi ya 7 Yemen

    Kimbunga kikali chaua watu 3 Oman, zaidi ya 7 Yemen

    May 26, 2018 10:53

    Watu watatu wamepoteza maisha nchini Oman kufuatia kimbunga kikali ambacho kinaendelea kukumba pwani ya kusini mwa nchi hiyo eneo la Salalah.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS