• Mashauriano baina ya Fat'h na Hamas ya kufikia maridhiano ya kitaifa ya Palestina

    Mashauriano baina ya Fat'h na Hamas ya kufikia maridhiano ya kitaifa ya Palestina

    Feb 08, 2016 03:44

    Wakati mashauriano yanaendelea baina ya harakati za Hamas na Fat'h kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina, wawakilishi wa Fat'h kwenye vikao vya mashauriano wametoa masharti mapya kwa ajili ya kufikiwa maridhiano hayo ambayo yamekabiliwa na radiamali ya harakati ya Hamas.

  • Hamas yataka kuungwa mkono Muhammad al Qiq

    Hamas yataka kuungwa mkono Muhammad al Qiq

    Feb 07, 2016 04:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imewatolea mwito wananchi wa Palestina kushiriki kwa wingi katika maandamano ya kumuunga mkono mwandishi habari wa Kipalestina aliyeko katika jela ya Israel huku akiwa amegoma kula.