-
Raia mmoja wa Algeria atiwa mbaroni akihusishwa na mashambulio ya Paris Ufaransa
Feb 28, 2016 16:30Maafisa usalama wa Algeria wametangaza habari ya kutiwa mbaroni raia mmoja wa nchi hiyo aliyekuwa anaishi nchini Ubelgiji kwa tuhuma za kuhusika katika mashambulizi ya mjini Paris Ufaransa.