-
Putin na Ban Ki-moon wajadili kadhia ya Syria
Jun 17, 2016 02:36Rais Vladimir Putin wa Russia na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon wamekutana na kujadili kadhia ya Syria.
-
Assad na Putin wakubaliana kupunguzwa vituo vya anga vya Russia nchini Syria
Mar 15, 2016 03:37Ofisi ya Rais wa Syria imetangaza kuwa marais wa Russia na Syria wamekubaliana kupunguzwa idadi ya vituo vya anga vya vya jeshi la Russia nchini humo.