-
Misri yailaumu vikali Qatar, (P) GCC yailalamikia serikali ya Cairo
Dec 17, 2016 00:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetoa taarifa ya kuilaumu tena Qatar na kuituhumu kuwa ilihusika katika tukio la kigaidi la mripuko uliotokea kwenye kanisa la Othodoksi la Saint Mark la Waqibti katika mji mkuu Cairo.
-
Rais Rouhani: Mazungumzo yatumike kutatua migogoro Mashariki ya Kati
Sep 13, 2016 02:12Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema mazungumzo ya kisiasa yanaonyesha ufahamu ndio njia pekee za kutatua matatizo ya hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati hasa katika Ghuba ya Uajemi.
-
Qatar yampa hifadhi kamanda mwandamizi wa zamani wa al-Shabab
Mar 06, 2016 21:47Aliyekuwa kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kitakfiri la al-Shabab, Muhammed Said Atam amepewa hifadhi na serikali ya Qatar.