-
Sura ya S’aad, aya ya 49-58 (Darsa ya 831)
Jun 27, 2019 01:29Wasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur’ani, Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Bismillahir Rahmanir Rahim. Hamdu na sifa zote njema zinamstahikia Allah SW, na rehma na amani zimshukie Mtume wake Mtukufu na Aali zake watoharifu.
-
Sura ya S’aad, aya ya 44-48 (Darsa ya 830)
Jun 27, 2019 01:26Wasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur’ani, Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Bismillahir Rahmanir Rahim. Hamdu na sifa zote njema zinamstahikia Allah SW, na rehma na amani zimshukie Mtume wake Mtukufu na Aali zake watoharifu.
-
Sura ya S’aad, aya ya 39-43 (Darsa ya 829)
Jun 27, 2019 01:23Wasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur’ani, Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Bismillahir Rahmanir Rahim. Hamdu na sifa zote njema zinamstahikia Allah SW, na rehma na amani zimshukie Mtume wake Mtukufu na Aali zake watoharifu.
-
Sura ya S’aad, aya ya 34-38 (Darsa ya 828)
Jun 27, 2019 01:19Wasikilizaji wapenzi wa Darsa ya Qur’ani, Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Bismillahir Rahmanir Rahim. Hamdu na sifa zote njema zinamstahikia Allah SW, na rehma na amani zimshukie Mtume wake Mtukufu na Aali zake watoharifu.
-
Kiongozi Muadhamu: Njia pekee ya kupata ushindi dhidi ya mashetani na makafiri ni kusimama kidete
May 06, 2019 23:02Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: " Chanzo cha izza inayoongezeka na ustawi wa hali ya juu wa taifa la Iran katika kipindi cha miaka 40 iliyopita ni kutekeleza mafundisho ya Qur'ani Tukufu hasa kuhusu kusimama kidete na leo pia njia pekee ya kupata ushindi dhidi ya mashetani na makafiri ni kusimama kidete."
-
Qarii Rajayi Ayoub wa Tanzania: Mashindano ya Kimataifa ya Qurani ya Iran ni chanzo cha umoja wa Waislamu+Sauti
Apr 18, 2019 03:36Qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka nchini Tanzania Ustadh Rajayi Ayoub amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ni fursa muhimu ya kuleta umoja miongoni mwa Waislamu duniani.
-
Qarii wa Qur'ani kutoka Kenya asisitiza umoja Waislamu wa Madhehebu ya Shia na Sunni+Sauti
Apr 18, 2019 03:21Qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya ambaye ameshiriki katika Mashindano 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amesema mashindano hayo yanaimarisha umoja baina ya Waislamu.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu udharura wa kueneza utamaduni na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani
Apr 16, 2019 01:58"Kutekeleza mafundisho ya Qur'ani kunaandaa uwanja wa kupatikana izza (heshima), ustawi, maendeleo, nguvu, mshikamano, mtindo mzuri wa maisha katika dunia na kudhaminiwa saada na ufanisi wa Akhera."
-
Mahojiano na mshindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran + Sauti
Apr 14, 2019 13:46Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumapili, Aprili 14, 2019 hapa mjini Tehran na kushindanisha washiriki kutoka nchi 83 za dunia.
-
Wenye chuki na Uislamu Denmark waivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuuchoma moto msahafu
Mar 23, 2019 03:32Katika harakati nyingine ya uenezaji chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), kiongozi wa chama kimoja cha mrengo wa kulia chenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini Denmark ameuchoma moto msahafu mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo.