-
Suratul Qas'as 5-8 (683)
Jan 01, 2017 07:29Sura ya Al-Qas’as’, aya ya 5-8 (Darsa ya 683)
-
Balozi wa Russia Cairo: Qur'ani na Uislamu havina uhusiano wowote na ugaidi
Dec 23, 2016 00:01Balozi wa Russia mjini Cairo, Misri amesema kuwa mafundisho ya Qur'ani tukufu hayana mfungamano wa aina yoyote ile ya ugaidi.
-
Mafunzo ya Qur'ani katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Gambia
Dec 15, 2016 01:00Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Gambia (GQMC) kinachofungamana na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Intaneti cha Gambia kimeandaa masomo ya kuhifadhi Qur'ani kupitia intaneti kwa lengo la kutoa mafunzo kwa Waislamu kona zote za dunia.
-
Daesh wazidi kupata pigo Iraq, watega mabomu ndani ya Qur'ani karibu na Mosul
Dec 07, 2016 00:26Wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) wameanza tena kutega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani Tukufu na kuziacha mabarabarani na nje ya majumba katika kijiji cha Kanous, karibu na mji wa Mosul nchini Iraq.
-
Ubalozi wa Saudia Morocco wavunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu
Oct 03, 2016 23:28Ubalozi wa Saudia Arabia nchini Morocco umekosolewa vikali na Waislamu baada ya kuenea picha za kuvunjiwa heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika ubalozi huo.
-
Jumatatu, 04 Julai 2016
Jul 04, 2016 01:50Leo ni Jumatatu tarehe 28 Ramadhani mwaka 1437 Hijria sawa na 4 Julai 2016.
-
Vikao 400 vya Qur'ani Tukufu kote Iran
Jun 11, 2016 23:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa vikao 400 maalumu vya usomaji Qur'ani kote Iran katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Vikao 400 vya Qur'ani Tukufu kufanyika kote nchini Iran
Jun 11, 2016 11:00Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa vikao 400 maalumu vya usomaji Qur'ani kote nchini katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani.
-
Iraq: Daesh inatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani
Jun 09, 2016 23:19Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh linatumia nakala za Qur'ani tukufu kutekeleza mashambulizi yake ya mabomu katika mji wa Fallujah nchini Iraq.
-
Iran yafadhili mashindano ya Qur'ani katika Televisheni ya Uganda
May 28, 2016 23:43Kitengo cha Utamaduni cha Iran nchini Uganda kimefadhili mashindano ya Qur'ani Tukufu katika Televisheni ya Taifa ya nchi hiyo, UBC.