Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qur'ani Tukufu

  • Iran yalaani hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto Qur'ani Tukufu

    Iran yalaani hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto Qur'ani Tukufu

    Jun 24, 2023 10:07

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali kitendo cha walowezi wa Kizayuni cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu wakati wa mashambulizi ya askari wa Israel dhidi ya misikiti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Hekaya za Aya (1)

    Hekaya za Aya (1)

    Jun 17, 2023 06:44

    Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu ya kwanza ya kipindi chetu kipya tulichokipa jina la Hekaya za Aya ambacho kwa hakika kinazungumzia sababu, kisa au tukio lililopelekea kuteremshwa Aya mbalimbali za Qur'ani Tukufu.

  • Polisi ya Canada yamfungulia mashtaka ya uhalifu wa chuki aliyeshambulia msikiti, kuchana Qur'ani

    Polisi ya Canada yamfungulia mashtaka ya uhalifu wa chuki aliyeshambulia msikiti, kuchana Qur'ani

    Apr 10, 2023 07:55

    Polisi ya Canada imetangaza kuwa imemkamata na kumfungulia mashtaka mwanamume mmoja kwa kile kilichoelezwa kuwa ni "tukio la chuki" katika msikiti mmoja wa jimbo la Ontario Alhamisi iliyopita, baada ya kuhujumu Waislamu, kuwatishia na kuwatusi.

  • Qari wa Iran aibuka mshindi katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu Saudi Arabia

    Qari wa Iran aibuka mshindi katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu Saudi Arabia

    Apr 08, 2023 11:46

    Qari Yunes Shahmoradi kutoka Iran ameibuka mshindi katika toleo la pili la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Otr Elkalam nchini Saudi Arabia.

  • Wahindu wenye msimamo mkali washambulia shule ya Kiislamu na kuchoma nakala za Qur'ani na maelfu ya vitabu

    Wahindu wenye msimamo mkali washambulia shule ya Kiislamu na kuchoma nakala za Qur'ani na maelfu ya vitabu

    Apr 04, 2023 13:30

    Wanaharakati kwenye majukwaa ya mawasiliano ya kijamiii ya India wamechapisha picha zinazoonyesha shule ya Kiislamu ikiteketea kwa moto katika jimbo la Bihar, baada ya kushambuliwa na Wahindu wenye msimamo mkali siku ya Ijumaa, na kusababisha uharibifu mkubwa.

  • Yemen yasusia bidhaa nchi za Ulaya zinazohusika na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu

    Yemen yasusia bidhaa nchi za Ulaya zinazohusika na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu

    Apr 03, 2023 08:33

    Yemen imepiga marufuku kuingia nchini humo bidhaa zinazozalishwa na nchi za Ulaya ambazo zimewezesha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, ambapo kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ameitaja hatua hiyo kuwa ni "vikwazo vya kiuchumi".

  • Uturuki yawasilisha malamiko rasmi kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Denmark

    Uturuki yawasilisha malamiko rasmi kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Denmark

    Apr 02, 2023 03:06

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imemwita balozi wa Denmark nchini humo ili kutoa malalamiko yake ya kupinga kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Ansarullah yalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu

    Ansarullah yalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu

    Mar 31, 2023 02:11

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Denmark na katika nchi nyingine za Ulaya.

  • Iran yalaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Denmark

    Iran yalaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Denmark

    Mar 28, 2023 03:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani wimbi la kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Denmark na katika nchi nyingine za Ulaya.

  • Atakayemkabidhisha askari wa Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani kuzawadiwa $168,000

    Atakayemkabidhisha askari wa Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani kuzawadiwa $168,000

    Mar 19, 2023 12:33

    Rais Madan Kadyrov, wa eneo la Russia linalojiendeshea mambo yake la Chechnya ametenga zawadi ya ruble milioni 10 za Kirusi ambazo ni sawa na dola 168,000 za Kimarekani kwa atakayefanikisha kukamatwa akiwa hai, askari wa jeshi la Ukraine aliyeivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuichoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS