-
Rouhani: Iran haijali ni nani ataibuka mshindi katika uchaguzi wa Marekani
Nov 04, 2020 11:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili halijalishwi wala kushughulishwa na ni nani atakayeibuka mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani uliofanyika jana Jumanne.
-
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu awapongeza Waislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (saw)
Nov 03, 2020 02:47Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe marais wa nchi za Kiislamu akiwapongeza kwa mnasaba wa kuadhimisha Maulidi na siku ya kuzaliwa Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu na Nabii wa rehma, upendo na amani, Muhammad (saw).
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Uturuki kwa maafa ya zilzala ya Izmir
Oct 31, 2020 10:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananhi wa Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea jana Ijumaa katika eneo la Izmir na kutangaza kuwa Iran iko tayari kwa ajili ya misaada ya aina zote kwa waathiriwa wa janga hilo.
-
Rais Rouhani: Wamagharibi wasijiingize kwenye masuala ya ndani ya Waislamu
Oct 28, 2020 12:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kama nchi za Magharibi, za Ulaya na Ufaransa ni wakweli katika madai yao kwamba zinapigania amani, udugu, usalama na utulivu katika jamii ya mwanadamu basi zinapaswa kuacha kuingilia masuala ya ndani ya Waislamu.
-
Rouhani: Kuhitimishwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran ni ushindi wa mantiki ya akili dhidi ya mabavu
Oct 21, 2020 13:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhitimishwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran ni ushindi wa mantiki ya akili na ukweli dhidi ya utumiaji mabavu.
-
Rouhani: Iran imefelisha njama za Marekani la kuisambaratisha nchi
Oct 19, 2020 03:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui wa Iran walikuwa na mpango maalumu wa kuzusha mifarakano na migongano humu nchnii ili viwazo vyao vipate nguvu zaidi.
-
Marais wa Iran na Russia waelezea wasiwasi wao kuhusu vita vya Nagorno-Karabakh
Oct 11, 2020 04:17Marais wa Iran na Russia wameelezea wasiwasi wao kutokana na kuendelea mgogoro wa Nagorno-Karabakh na wamesema wana hofu mgogoro huo usije ukageuka kuwa vita vya eneo hili zima kutokana na uingiliaji wa nchi nyingine na kuweko magenge ya kigaidi katika eneo hilo.
-
Rais Rouhani: Marekani haitalishinda taifa la Iran kwa kuzuia dawa na chakula
Oct 09, 2020 13:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haitaweza kulishinda taifa la Iran kwa kuweka vizingiti vya kununua na kudhamini dawa na chakula.
-
Rais Rouhani: Iran haitoruhusu magaidi waweko kwenye mipaka yake
Oct 07, 2020 12:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran kamwe haitoruhusu magaidi waweko kwenye mipaka yake na kuongeza kuwa, jambo hilo halikubaliki kabisa na Tehran imewatangazia waziwazi msimamo wake huo, viongozi wa nchi zote jirani.
-
Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa mgogoro baina ya Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia
Oct 07, 2020 04:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mgogoro baina ya Armenia na Jamhuri ya Azerbaijan unapaswa kumalizika haraka iwezekanavyo. Ameongeza kuwa, Iran iko tayari kuchukua hatua yoyote ya kutatua mgogoro baina ya Baku na Yerevan kwa mujibu wa sheria za kimataifa na mipaka inayotambuliwa rasmi ya nchi hizo mbili.