-
Putin: Tunatumai hatutalazimika kutumia silaha za nyuklia Ukraine
May 04, 2025 22:52Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kufikia sasa, udharura wa kutumia silaha za nyuklia nchini Ukraine haujajitokeza, na kwamba anatumai hautatokea.
-
Kremlin: Russia inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini 'ikiwa italazimu'
Apr 29, 2025 03:20Ikulu ya Russia, Kremlin imesema nchi hiyo inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini chini ya makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati yaliyotiwa saini kati ya nchi hizo mbili mwishoni mwa mwaka jana.
-
Putin aishukuru Korea Kaskazini kwa msaada wake wa kijeshi
Apr 28, 2025 04:28Rais wa Russia, Vladimir Putin ametoa shukrani zake za dhati kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini na kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un, kwa msaada na uungaji mkono wao katika operesheni ya kuzima uvamizi wa Ukraine.
-
Zelensky: Kombora lililoua raia 12 Kiev lilikuwa na vifaa vilivyotengezwa na makampuni ya silaha ya Marekani
Apr 26, 2025 23:03Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amedai kuwa vifaa vilivyotengenezwa na makampuni ya Marekani vilipatikana kwenye kombora lililotumiwa kushambulia mji mkuu wa nchi hiyo Kyiv mapema wiki hii na kuua watu 12.
-
Hatua mpya katika kuzidisha kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Russia
Apr 26, 2025 07:20Miamala ya kibiashara kati ya Iran na Russia inazidi kuongezeka katika nyanja mbalimbali za kiuchumi hususan katika sekta ya nishati na usafirishaji.
-
Kremlin: Umoja wa Ulaya unataka vita, sio mazungumzo
Apr 24, 2025 23:16Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin), Dmitry Peskov amesema Umoja wa Ulaya umekuwa ukizuia juhudi za kidiplomasia za Washington na Moscow kwa ajili ya kumaliza mzozo wa Ukraine, na badala yake unafanya jitihada za kurefusha uhasama na mzozo huo.
-
Baghaei: Russia ina mchango athirifu katika mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani
Apr 22, 2025 22:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Russia ina nafasi na mchango athirifu katika kushughulikia faili la nyuklia la Iran.
-
Onyo la Marekani kuhusu kurejea nyuma katika mazungumzo ya vita vya Ukraine
Apr 20, 2025 22:54Marco Rubio Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa, Rais Donald Trump atajiondoa katika juhudi za kupatanisha makubaliano ya amani kati ya Russia na Ukraine ndani ya siku chache zijazo isipokuwa kama kutakuwa na dalili za wazi kwamba makubaliano yanaweza kufikiwa.
-
UN yapinga kuondolewa Taliban kwenye orodha iliyopigwa marufuku ya Russia
Apr 18, 2025 22:51Kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Russia wa kuliondoa kundi la Taliban kwenye orodha ya mashirika yaliyopigwa marufuku, Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba hatua hiyo haibadilishi hadhi ya Taliban katika taasisi hiyo na kwamba vikwazo vya kimataifa dhidi ya kundi hilo vitaendelea kuwepo.
-
Katibu Mkuu wa UN: Umiminikaji wa silaha na wapiganaji nchini Sudan unatia wasiwasi
Apr 16, 2025 08:00Wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan vinatimiza miaka miwili na kuanza mwaka wa tatu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema, anatiwa wasiwasi na namna silaha na wapiganaji wanavyoendelea kumiminika nchini humo.