-
Russia yakosoa hatua ya Magharibi dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya IAEA
Nov 25, 2024 03:33Ubalozi wa Russia mjini Tehran umekosoa hatua ya nchi za Magharibi dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA).
-
Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO
Nov 24, 2024 02:26Matukio ya hivi karibuni katika vita vya Ukraine, yaani uamuzi wa nchi za Magharibi wa kutoa ruhusa kwa Ukraine kuishambulia Russia kwa kutumia silaha za masafa marefu za Marekani na Ulaya kwa upande mmoja, na Russia kutumia w kombora jipya la masafa ya kati lenye kasi ya zaidi ya sauti dhidi ya Ukraine kama tahadhari kali kwa Magharibi, kumeibua mgogoro mkubwa na usio na kifani kati ya Russia na NATO.
-
Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia
Nov 20, 2024 11:23Rais Vladimir Putin wa Russia Jumanne, Novemba 19, alitia saini amri ambayo inaipa Moscow ruhusa ya kutumia silaha za nyuklia dhidi ya "nchi isiyo na silaha za nyuklia" ilimradi nchi hiyo iwe inaungwa mkono na nguvu za nyuklia.
-
Siku 1000 za vita vya Ukraine na mustakabali wake usiojulikana
Nov 20, 2024 02:36Jumatatu ya juzi 18 Novemba, 2024, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano mjini New York, kwa mnasaba wa siku elfu 1000 za Vita vya Ukraine.
-
Ombi la Antonio Guterres la kuzuia kuongezeka mivutano katika vita vya Ukraine
Nov 19, 2024 07:15Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuzuia kuongezeka mapigano nchini Ukraine.
-
Hatua mpya ya Wamagharibi ya kuchochea moto wa vita vya Ukraine
Nov 18, 2024 11:13Rais wa Marekani, Joe Biden ameripotiwa kuidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Kimarekani kulenga shabaha ndani ya mipaka ya Russia ya kabla ya 2014. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya jana Jumapili iliyotolewa na gazeti la New York Times likiwanukuu maafisa wa Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao.
-
Russia yaitahadharisha Ufaransa kuhusu kutuma makombora Ukraine
Nov 15, 2024 03:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuhusu Ufaransa kutuma makombora nchini Ukraine.
-
Iran, Russia na Uturuki zalaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina
Nov 13, 2024 02:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki zimetoa taarifa ya pamoja zikilaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na mashambulizi ya utawala huo ghasibu dhidi ya Lebanon na Syria.
-
Lavrov akosoa jitihada za Magharibi za kueneza chuki dhidi ya Russia
Nov 11, 2024 12:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa vikali njama za nchi za Magharibi za kueneza chuki dhidi ya nchi hiyo.
-
Zaidi ya mawaziri 40 wa Afrika wakutana nchini Russia
Nov 09, 2024 10:38Mkutano wa kwanza wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano wa Russia na Afrika umeanza leo katika mji wa pwani wa Sochi, kusini mwa Russia; kuashiria muundo mpya wa kawaida wa mazungumzo kufuatia mikutano ya kilele kati ya pande mbili hizo.