-
Russia: Wamagharibi karibuni watamtosa Rais Zelensky wa Ukraine
Jun 21, 2024 02:15Idara ya Intelijensia ya Nje ya Russia (SVR) imefichua kuwa, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ni mwanasiasa tegemezi kwa Magharibi, na kwamba karibuni hivi, Marekani pamoja na waitifaki wake 'watamtoa kafara' kiongozi huyo pasi na kujali kitu chochote.
-
Russia: Ukraine katu haitajiunga na shirika la kijeshi la NATO
Jun 19, 2024 12:17Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa Ukraine kuwa mwanachama wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO.
-
Russia yatungua makumi ya droni, maroketi ya Ukraine
Jun 17, 2024 02:58Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imetungua maroketi na ndege kadhaa zisizo na rubani za Ukraine (droni) ndani ya saa 24.
-
Mkuu wa NATO: Hatutatuma wanajeshi Ukraine
Jun 07, 2024 02:45Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO amesema muungano huo wa kijeshi wa Wamagharibi hauna mpango wa kutuma wanajeshi wake nchini Ukraine.
-
Iran, China na Russia zazitaka nchi za Magharibi zianze tena kutekeleza makubaliano ya nyuklia
Jun 05, 2024 07:28Iran, China na Russia zimesisitiza kuwa, vifungu vya mkataba wa nyuklia wa JCPOA vingali vina itibari na kuzishauri nchi za Magharibi ambazo zimekwamisha utekelezaji wa mapatano hayo kwa kutochukua hatua na kukhalifu kutekeleza ahadi na majukumu yao, zionyeshe utashi wa kisiasa na kuchukua hatua zinazohitajika ili kuanza kutekeleza tena makubaliano hayo.
-
NATO yaituhumu China kuwa inachochea moto wa vita Ulaya kwa kuiunga mkono Russia
May 26, 2024 11:15Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la Magharibi NATO Jens Stoltenberg ameituhumu China kwamba inachochea vita barani Ulaya kwa kuiunga mkono Russia dhidi ya Ukraine.
-
Putin: Kifo cha Raisi ni pigo kubwa; nitaendelea kuimarisha uhusiano na Iran
May 22, 2024 10:27Rais Vladimir Putin wa Russia ameeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa sana na kifo cha Rais Ebrahim Raisi wa Iran na kusema ni pigo kubwa kwa taifa.
-
Russia: Jamii ya kimataifa iendelee kuzishinikiza Marekani na utawala wa Kizayuni
May 21, 2024 12:07Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa jamii ya kimataifa inapasa kuendeleza mashinikizo kwa Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Russia yaishambulia US kwa kukosoa waranti wa kukamatwa Netanyahu
May 21, 2024 07:18Russia imekosoa vikali radiamali hasi ya Marekani kwa ombi la Karim Khan, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), la kutaka kutolewa waranti wa kumtia nguvuni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Russia: Umoja wa Ulaya hauna uvumilivu katika suala la uhuru wa kutoa maoni
May 19, 2024 10:39Spika wa Bunge la Russia Duma ameushutumu Umoja wa Ulaya (EU) kwa kubana maoni mbadala na kuminya uhuru wa kujieleza kwa lengo la kuwahadaa raia.