Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Tumeua makumi ya mamluki wa kigeni nchini Ukkraine

    Russia: Tumeua makumi ya mamluki wa kigeni nchini Ukkraine

    Aug 07, 2022 02:09

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limeua makumi ya mamluki wa kigeni katika shambulizi la anga dhidi ya kambi ya kijeshi ya kigeni nchini Ukraine.

  • Russia yautaka utawala wa Kizayuni ukomeshe jinai zake katika Ukanda wa Ghaza

    Russia yautaka utawala wa Kizayuni ukomeshe jinai zake katika Ukanda wa Ghaza

    Aug 07, 2022 02:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameutaka utawala wa Kizayuni ukomeshe mara moja jinai zake dhidi ya wananchi wa Ghaza na kwamba mashambulio hayo ya kivamizi ya Wazayuni hayahalalishiki kivyovyote vile.

  • Russia Today: Mgogoro wa uhaba wa ngano unaisukumiza dunia kwenye baa la njaa

    Russia Today: Mgogoro wa uhaba wa ngano unaisukumiza dunia kwenye baa la njaa

    Aug 06, 2022 22:28

    Chaneli ya televisheni ya Russia Today imeripoti kuwa uvunaji wa ngano nchini Russia unakabiliwa na hatari na kwamba jambo hilo linaweza kuielekeza dunia kwenye baa la njaa.

  • Onyo la Katibu Mkuu wa UN la kutokea vita vya nyuklia duniani

    Onyo la Katibu Mkuu wa UN la kutokea vita vya nyuklia duniani

    Aug 03, 2022 03:52

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu hatari ya kutokea vita vya nyuklia duniani. Alitoa onyo hilo Jumatatu, Agosti 1, 2022 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kuangaliwa Upya Mkataba wa NPT wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia.

  • Russia yatungua ndege 13 zisizo na rubani za Ukraine kwa siku moja

    Russia yatungua ndege 13 zisizo na rubani za Ukraine kwa siku moja

    Jul 31, 2022 02:57

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imetungua ndege 13 zisizo na rubani za Ukraine katika kipindi cha siku moja.

  • Museveni: Russia imekuwa rafiki mkubwa wa Afrika kwa zaidi ya karne

    Museveni: Russia imekuwa rafiki mkubwa wa Afrika kwa zaidi ya karne

    Jul 27, 2022 08:45

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema Russia ni rafiki mkubwa wa Afrika na imekuwa ikiunga mkono harakati za kupambana na ukoloni za mataifa ya bara hilo kwa zaidi ya miaka mia moja.

  • Spika wa Russia: Mwenendo wa sarafu ya dola kuacha kutumiwa kimataifa hauwezi kusita

    Spika wa Russia: Mwenendo wa sarafu ya dola kuacha kutumiwa kimataifa hauwezi kusita

    Jul 27, 2022 03:34

    Spika wa bunge la taifa la Russia la Duma amesisitiza kuwa mwenendo wa sarafu ya dola ya Marekani kuacha kutumiwa katika miamala ya kimataifa umeanza na hakuna njia yoyote ya kuweza kuusitisha.

  • Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia aendelea na ziara yake Afrika kwa kuitembelea Uganda

    Jul 26, 2022 07:04

    Waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergey Lavrov amewasili nchini Uganda akiendelea na zaira yake katika nchi kadhaa za Afrika.

  • Safari ya Lavrov barani Afrika; juhudi za Russia za kutafuta fursa mpya

    Safari ya Lavrov barani Afrika; juhudi za Russia za kutafuta fursa mpya

    Jul 26, 2022 02:03

    Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameanza safari yake ya siku 5 barani Afrika kwa kuitembelea Misri ambako aliwasili Jumapili, Julai 24.

  • Magharibi yahaha kukabiliana na makombora ya

    Magharibi yahaha kukabiliana na makombora ya "Hypersonic" ya China na Russia

    Jul 25, 2022 21:59

    Mashirika ya silaha ya Uingereza na Marekani hivi sasa yanahaha kuongeza nguvu zao za kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na makombora yanayokwenda kwa kasi ya ajabu maarufu kwa jina la makombora ya hypersonic, ya Russia na China.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS