-
Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya
Jul 13, 2022 22:48Usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ujerumani kupitia bomba la "Nord Stream 1" katika Bahari ya Baltic, ulisimamishwa Jumatatu kwa muda wa siku 10.
-
Russia: Kuondolewa vikwazo na Magharibi kutapelekea kushuka bei za vyakula na nishati duniani
Jul 12, 2022 02:48Waziri wa fedha wa Russia amesema, kuondolewa vikwazo na Magharibi dhidi ya nchi hiyo kutapelekea kushuka bei za vyakula na nishati duniani na akafafanua kwamba, kuhusu ni kwa muda gani bei za nishati na vyakula zitaendelea kuwa za juu, hilo litategemea na muda vitakaochukua vikwazo vilivyowekwa na Magharibi.
-
Marekani na waitifaki wake wa Ulaya wanatafuta njia ya kuhitimisha vita vya Ukraine kidiplomasia
Jul 09, 2022 22:18Gazeti la Kijerumani la Die Welt limeripoti kuwa, Marekani na waitifaki wakuu wa Magharibi wanafanya mazungumzo kwa siri ili kutafuta njia za kidiplomasia za kuhitimisha vita na mapigano nchini Ukraine.
-
Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine
Jul 07, 2022 03:26Jeshi la Russia limetangaza habari ya kusambaratisha mifumo miwili ya makombora aina ya HIMARS ya Marekani mashariki mwa Ukraine.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia: Magharibi imeipatia Ukraine tani 28,000 za silaha
Jul 06, 2022 01:23Waziri wa Ulinzi wa Russia amesema kuwa, nchi za Magharibi zinaendelea kutuma silaha nchini Ukraine kwa kisingizio cha kurefusha vita na hadi sasa zimepeleka zaidi ya tani elfu 28 za silaha huko Ukraine.
-
"Putin" na sera ya ubeberu ya shirika la NATO
Jul 01, 2022 04:15Rais wa Russia, Vladimir Putin, amelaani "sera za kupenda makuu" za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), ambalo anaamini linalenga kuimarisha "ubeberu" wake kupitia vita vya Ukraine.
-
Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine
Jun 30, 2022 20:33Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linawasajili magaidi wa Daesh (ISIS) ili wapelekwe Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo.
-
Russia: Iran na Argentina zameomba rasmi uwanachama katika BRICS
Jun 28, 2022 06:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Russia amethibitisha kuwa Iran na Argentina zimetuma maombi ya kuwa wanachama katika jumuiya ya BRICS.
-
Putin kufanya safari ya kwanza nje ya nchi tangu Russia ilipoanzisha vita dhidi ya Ukraine
Jun 27, 2022 03:13Vyombo vya habari vya Russia vimetangaza kuwa rais Vladimir Putin wa nchi hiyo atafanya safari ya kwanza nje ya nchi tangu vilipoanza vita nchini Ukraine kwa kutembelea nchi mbili za eneo la Asia ya Kati.
-
Russia: Hatutajiunga na Mkataba wa Kupiga Marufuku Silaha za Nyuklia
Jun 25, 2022 07:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Moscow haitajiunga na Mkataba wa Kupiga Marufuku Silaha za Nyuklia (TPNW).