-
Russia yakanusha tuhuma za kuiuzia silaha Taliban, yasema ni madai ya kijinga
Dec 17, 2021 09:44Mwakilishi wa rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amekanusha habari iliyotangazwa na vyombo vya habari vya Magharibi kwamba nchi hiyo imeiuzia silaha serikali ya Taliban.
-
Russia yaionya NATO isiichochee Ukraine kuichokoza na kufanya chokochoko dhidi ya Moscow
Dec 16, 2021 03:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelionya jeshi la Magharibi la NATO kuhusu kuipa silaha Ukraine na kuichochea kufanya chokochoko dhidi ya Moscow.
-
Rais wa Russia asema uhusiano wa nchi yake na China unaleta uthabiti katika uga wa kimataifa
Dec 15, 2021 23:57Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, uratibu na mashauriano yanayofanywa baina ya nchi yake na China katika uga wa kimataifa umekuwa wenzo wa kupatikana uthabiti duniani.
-
Russia yasimamisha kwa muda uwekaji mitambo ya makombora barani Ulaya
Dec 14, 2021 08:56Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi hiyo imeamua kusimamisha kwa muda mpango wa kuweka mitambo yake ya makombora katika bara la Ulaya.
-
Russia: Iran ni kati ya nchi nne bora duniani katika uzalishaji makombora
Dec 12, 2021 04:42Naibu Mkuu wa Akademia ya Makombora Russia amesema katika uga wa kijeshi Iran ni miongoni mwa nchi zilizoendelea na katika uundaji wa mifumo ya makombora Iran na ni miongoni mwa nchi nne bora duniani.
-
Kiongozi mpya wa Ujerumani aanza kazi kwa kuitisha Russia
Dec 09, 2021 04:45Kansela mpya wa Ujerumani Olaf Scholz, ambaye amechukua hatamu za uongozi wa nchi hiyo kutoka kwa Angela Merkel, ameanza kazi kwa kutoa vitisho dhidi ya Russia.
-
Kuongezeka kwa mzozo kati ya Russia na Magharibi juu ya Ukraine na upanuzi wa NATO kuelekea Mashariki
Dec 04, 2021 11:06Katika wiki za hivi karibuni, makabiliano kati ya Russia na Magharibi kuhusu Ukraine yamechukua sura mpya, huku pande mbili zikitoa maonyo ya mara kwa mara kuhusu hatua zozote za kijeshi.
-
Russia yasisitiza kuizuia Nato ili isipanue uwepo wake mashariki mwa Ulaya
Dec 03, 2021 23:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kwamba kuna haja ya kuzuia Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) kupanua uwepo wake mashariki mwa bara Ulaya.
-
Maneva ya pamoja ya kijeshi kati ya Russia na Misri
Dec 02, 2021 08:37Kikosi cha wanajeshi wa meli za kivita za Russia katika bahari Nyeusi kimetangaza kuwa meli za nchi hiyo hivi karibuni zitawasili katika bandari ya Alexandria huko Misri kwa ajili ya kushiriki katika maneva ya pamoja na nchi hiyo.
-
Russia: Lebanon haipasi kufanywa mahali pa kukomoana na kulipiziana visasi nchi zingine
Nov 22, 2021 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, ana matumaini serikali mpya ya Lebanon itaweza kuhitimisha mgogoro wa muda mrefu wa kisiasa na akataka nchi hiyo isitumiwe kuwa mahali pa nchi zingine kukomoana na kulipiziana visasi.