Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Makumi wauawa na kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi uliotokea kwenye chuo kikuu, Russia

    Makumi wauawa na kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi uliotokea kwenye chuo kikuu, Russia

    Sep 20, 2021 06:18

    Watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine wasiopungua 19 wamejeruhiwa baada ya mwanachuo aliyekuwa na silaha kufyatua risasi ndani ya jengo la chuo kikuu cha mji wa Perm ulioko umbali wa kilomita 1,800 mashariki ya mji mkuu wa Russia, Moscow.

  • Washington: Kwa sasa Russia ni tishio kubwa zaidi kwa Marekani kuliko China

    Washington: Kwa sasa Russia ni tishio kubwa zaidi kwa Marekani kuliko China

    Sep 19, 2021 02:46

    Naibu Waziri wa Ulinzi wa Marekani amedai kwamba kwa sasa Russia ni tishio kubwa kwa usalama wa nchi hiyo na Ulaya kuliko China.

  • Mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki nchini Russia wahujumiwa na wadukuzi

    Mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki nchini Russia wahujumiwa na wadukuzi

    Sep 18, 2021 03:42

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulinzi wa Haki ya Kujitawala ya Baraza la Seneti la Russia ametangaza kuwa, mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki nchini humo umehujumiwa na wadukuzi kutoka nchi za Magharibi.

  • Russia yakosa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu haki za wanawake

    Russia yakosa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu haki za wanawake

    Sep 16, 2021 22:09

    Naibu mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa mjini New York amekiambia kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kwamba nchi za Magharibi zinatumia vigezo vya kindumakuwili kuhusu haki za wanawake huko Afghanistan na katika eneo la Idlib nchini Syria.

  • Gazeti la Russia: Iran imefelisha njama za Marekani katika Bodi ya Magavana ya IAEA

    Gazeti la Russia: Iran imefelisha njama za Marekani katika Bodi ya Magavana ya IAEA

    Sep 15, 2021 01:54

    Gazeti la Kommersant la Russia limeandika kuwa, Iran imefelisha njama za Marekani na waitifaki wake wa Ulaya za kutaka kutoa azimio dhidi ya Tehran katika kikao cha Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

  • Zakharova: Lengo la Marekani huko Ukraine ni kuishinikiza Russia

    Zakharova: Lengo la Marekani huko Ukraine ni kuishinikiza Russia

    Sep 14, 2021 10:31

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa lengo la mpango wa Marekani eti wa kuimarisha demokrasia nchi ya Ukraine ni kuiweka chini ya mashinikizo Russia na kuyumbisha hali ya mambo katika eneo hilo.

  • Russia na Sudan kusaini mkataba wa kijeshi hivi karibuni

    Russia na Sudan kusaini mkataba wa kijeshi hivi karibuni

    Sep 14, 2021 02:26

    Balozi mdogo wa Sudan nchini Russia ameashiria baadhi ya marekebisho katika makubaliano ya kijeshi kati ya nchi yake na Russia na kukadhibisha madai kwamba Khartoum itapokea msaada wa kiuchumi kutoka Moscow na akasema: makubaliano ya kijeshi ya Sudan na Russia yatasaniwa muda si mrefu ujao.

  • Russia yaionya Israel isiendelee kufanya mashambulio nchini Syria

    Russia yaionya Israel isiendelee kufanya mashambulio nchini Syria

    Sep 09, 2021 03:02

    Mwandishi wa televisheni ya al Mayadeen mjini Moscow amefichua kuwa viongozi wa Russia wamekusudia kutoa onyo kwa waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni ili Israel isifanye tena mashambulizi nchini Syria.

  • Russia: Jeshi la Syria limetungua makombora 21 kati ya 24 ya Israeli

    Russia: Jeshi la Syria limetungua makombora 21 kati ya 24 ya Israeli

    Sep 04, 2021 22:10

    Jeshi la Russia linasema makombora ya ulinzi wa anga ya Jeshi la Syria yametungua aghalabu ya makombora ya Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus hivi karibuni.

  • Putin alaani vikwazo vya Wamagharibi katika kivuli cha janga la Corona Iran

    Putin alaani vikwazo vya Wamagharibi katika kivuli cha janga la Corona Iran

    Sep 03, 2021 21:55

    Rais wa Russia amesema Iran inahitaji usaidizi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, lakini nchi za Magharibi zimekataa katakata kuiondolea vikwazo na vizuizi Jamhuri ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS