Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Lavrov: Kuondoka Marekani huko Afghanistan ni mwisho wa kipindi cha kulazimisha demokrasia kwa mtutu wa bunduki

    Lavrov: Kuondoka Marekani huko Afghanistan ni mwisho wa kipindi cha kulazimisha demokrasia kwa mtutu wa bunduki

    Sep 02, 2021 22:35

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan kuna maana ya mwisho wa kulazimisha demokrasia kwa kutumia nguvu za kijeshi.

  • Lavrov: Russia inapinga kuwepo wanajeshi wa Marekani katikati mwa Asia

    Lavrov: Russia inapinga kuwepo wanajeshi wa Marekani katikati mwa Asia

    Aug 25, 2021 03:23

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa, nchi hiyo inapinga suala la kupelekwa wanajeshi wa Marekani katika eneo la katikati mwa Asia.

  • Lavrov: Mchakato wa kupunguza mvutano kati ya Russia na Marekani ni mgumu mno

    Lavrov: Mchakato wa kupunguza mvutano kati ya Russia na Marekani ni mgumu mno

    Aug 24, 2021 08:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema, nchi yake inaamini kuwa mchakato wa kupunguza mvutano na Marekani ni mgumu mno.

  • Russia: Mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA yataanza tena karibuni mjini Vienna

    Russia: Mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA yataanza tena karibuni mjini Vienna

    Aug 21, 2021 08:16

    Mwakilishi wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao Vienna amejibu madai yaliyotolewa na afisa mmoja wa Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema, mazungumzo kuhusu makubaliano hayo yataanza tena hivi karibuni katiika mji mkuu huo wa Austria.

  • Kupinga Putin ombi la Biden la kuasisi kituo cha kijeshi karibu na Afghanistan

    Kupinga Putin ombi la Biden la kuasisi kituo cha kijeshi karibu na Afghanistan

    Aug 21, 2021 05:42

    Gazeti linalochapishwa nchini Marekani la Wall Street Journal limeandika kuwa, Rais Vladimir Putin wa Russia katka mazungumzo ya tarehe 16 Juni aliyofanya na Rais wa Marekani amepinga ombi la Biden la kutaka Washington kuwa na nafasi yoyote katika nchi za Asia ya Kati.

  • Iran, China na Russia zina maslahi na dukuduku zinazofanana kuhusu masuala ya kimataifa

    Iran, China na Russia zina maslahi na dukuduku zinazofanana kuhusu masuala ya kimataifa

    Aug 19, 2021 04:31

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na wenzake wa Russia na China akisisitiza kuwa suala la kustawishwa na kuimarishwa uhusiano baina ya Tehran na nchi hizo mbili ni miongoni mwa vipaumbele vya serikali mpya ya Iran.

  • Watu 55 wapoteza maisha nchini Niger kufuatia janga la mafuriko

    Watu 55 wapoteza maisha nchini Niger kufuatia janga la mafuriko

    Aug 12, 2021 23:02

    Takribani watu 55 wameaga dunia kufuatia janga la mafuriko nchini Niger huku 34 wakijeruhiwa na maelfu wakipoteza nyumba na makazi yao.

  • Guterres azitaka Marekani na Russia kudhibiti silaha zao za nyuklia

    Guterres azitaka Marekani na Russia kudhibiti silaha zao za nyuklia

    Aug 10, 2021 05:21

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa Marekani na Russia akizitaka kudhibiti silaha za nyuklia.

  • China na Russia zaanza mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi katika eneo la Ningxia

    China na Russia zaanza mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi katika eneo la Ningxia

    Aug 07, 2021 03:21

    China na Russia zimeanza mazoezi yao ya pamoja ya kijeshi katika eneo la Ningxia.

  • Russia: Tuko tayari kupatanisha mvutano kuhusu bwawa la Bwawa la Renaissance

    Russia: Tuko tayari kupatanisha mvutano kuhusu bwawa la Bwawa la Renaissance

    Aug 06, 2021 20:35

    Balozi wa Russia mjini Cairo, Misri amesisitiza kuwa usalama wa maji ni changamo kubwa kwa Misri na ni kadhia muhimu kwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS