Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Moscow: Taarifa kuhusu shambulizi dhidi ya meli ya Mercer Street zinakinzana

    Moscow: Taarifa kuhusu shambulizi dhidi ya meli ya Mercer Street zinakinzana

    Aug 05, 2021 02:37

    Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amepinga tuhuma zilizotolewa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Magharibi dhidi ya Iran kuhusu shambulizi lililolenga meli ya Mercer Street na kusema, taarifa hizo zinakinzana na zimetegemea dhana na tetetsi.

  • Russia: Hakuna mbadala wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Russia: Hakuna mbadala wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Aug 02, 2021 05:56

    Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao huko Vienna nchini Austria amesema njia pekee ya kuyahuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kuyarejesha katika hali yake ya asili.

  • Ulyanov: Lengo la mazungumzo ya Vienna ni kuhuisha mapatano ya JCPOA

    Ulyanov: Lengo la mazungumzo ya Vienna ni kuhuisha mapatano ya JCPOA

    Jul 30, 2021 22:09

    Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao huko Vienna nchini Austria kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, lengo la mazungumzo ya Vienna ni kuhuisha mapatano ya JCPOA.

  • Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan

    Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan

    Jul 28, 2021 03:17

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake huko Iraq, Libya, Afghanistan na Syria.

  • Bashar al Assad: Tunafanya jitihada ili wakimbizi wa Syria warejee nchini

    Bashar al Assad: Tunafanya jitihada ili wakimbizi wa Syria warejee nchini

    Jul 27, 2021 02:52

    Rais wa Syria amesisitiza kuwa Damascus inafanya jitihada kuandaa mazingita ya kurejea wakimbizi nchini.

  • Lavrov: Magharibi imedhamiria kuanzisha

    Lavrov: Magharibi imedhamiria kuanzisha "ukanda wa kuvuruga uthabiti" kuzunguka mipaka ya Russia

    Jul 23, 2021 06:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema, nchi za Magharibi zimedhamiria kudhoofisha hali ya ndani ya nchi hiyo na kuvuruga uthabiti wakati huu wa kukaribia kufanyika uchaguzi wa bunge la chini la Duma.

  • Lavrov: Russia haina mpango wa kutuma wanajeshi Afghanistan

    Lavrov: Russia haina mpango wa kutuma wanajeshi Afghanistan

    Jul 22, 2021 22:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuwa, nchi hiyo haina mpango wa kutuma wanajeshi Afghanistan.

  • Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan

    Kufichuliwa engo mpya wa ushirikiano wa Marekani na kundi la Daesh nchini Afghanistan

    Jul 22, 2021 07:00

    Zamir Kabulov, mjumbe wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema katika mkutano wa Valdai Discussion Club kwamba: Askari wa Marekani na waitifaki wake walikuwa na mawasiliano na ushirikiano na kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan.

  • Russia na China kushirikiana zaidi kistratejia kwa ajili ya kukabiliana na ubeberu wa Magharibi

    Russia na China kushirikiana zaidi kistratejia kwa ajili ya kukabiliana na ubeberu wa Magharibi

    Jul 12, 2021 03:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameitaka Russia iimarishe zaidi ushirikiano wake wa kistratejia na nchi hiyo ili nchi hizo mbili ziweze kukabiliana na ubeberu wa Magharibi.

  • Russia yatiwa wasiwasi kutokana na kuhusika Marekani katika mauaji ya Rais wa Haiti

    Russia yatiwa wasiwasi kutokana na kuhusika Marekani katika mauaji ya Rais wa Haiti

    Jul 09, 2021 08:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuhusu taarifa za kukamatwa raia wawili wa Marekani kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya Rais wa Haiti na kusema kuwa, Moscow imeingia wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS