Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia yatiwa wasiwasi kutokana na kuhusika Marekani katika mauaji ya Rais wa Haiti

    Russia yatiwa wasiwasi kutokana na kuhusika Marekani katika mauaji ya Rais wa Haiti

    Jul 09, 2021 08:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuhusu taarifa za kukamatwa raia wawili wa Marekani kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya Rais wa Haiti na kusema kuwa, Moscow imeingia wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti hizo.

  • Hatua mpya ya Russia ya kuachana na utegemezi wa sarafu ya dola

    Hatua mpya ya Russia ya kuachana na utegemezi wa sarafu ya dola

    Jul 09, 2021 05:20

    Wizara ya Fedha ya Russia imetangaza kuwa, imeondoa kikamilifu sarafu ya dola kwenye Mfuko wa Hazina ya Taifa wa nchi hiyo uliokuwa na akiba ya takriban dola bilioni 65 na kuzibadilisha fedha hizo katika sarafu nyingine za kigeni.

  • Jumatano tarehe 7 Julai 2021

    Jumatano tarehe 7 Julai 2021

    Jul 06, 2021 21:48

    Leo ni Jumatano tarehe 26 Dhulqaada 1442 Hijria sawa na Julai 7 mwaka 2021.

  • Russia: Afrika, Asia na America ya Latini zipewe viti Baraza la Usalama, sio nchi za Magharibi

    Russia: Afrika, Asia na America ya Latini zipewe viti Baraza la Usalama, sio nchi za Magharibi

    Jul 05, 2021 22:10

    Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Moscow inapinga mpango wowote wa kuzidisha nchi za Magharibi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Kremlin: Uchokozi mwingine wa Uingereza utapewa jibu la kuangamiza

    Kremlin: Uchokozi mwingine wa Uingereza utapewa jibu la kuangamiza

    Jul 05, 2021 05:21

    Msemaji wa Rais wa Russia amesema kuwa, hatua nyingine yoyote ya kichochezi kama ile iliyofanywa na manowari ya kivita ya Uingereza ya kuingia kinyume cha sheria katika maji ya nchi hiyo, itapewa jibu kali na la kuangamiza.

  • Russia yaitaka Marekani iache kuiba rasilimali za Wasyria

    Russia yaitaka Marekani iache kuiba rasilimali za Wasyria

    Jul 03, 2021 08:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema Marekani inapaswa kukomesha tabia yake ya kuiba rasilimali za wananchi wa Syria, na badala yake ipambane na magenge ya kigaidi.

  • Russia: Hatua ya Marekani kufunga tovuti za mrengo wa muqawama ni ya kisiasa

    Russia: Hatua ya Marekani kufunga tovuti za mrengo wa muqawama ni ya kisiasa

    Jul 02, 2021 22:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kufunga tovuti kadhaa za vyombo vya habari vya Iran na mrengo wa muqawama na kusisitiza kuwa, kitendo hicho kimechochewa na misimamo hasi ya kisiasa.

  • Peskov: Hakuna uwezekano wa kutokea vita vya tatu vya dunia

    Peskov: Hakuna uwezekano wa kutokea vita vya tatu vya dunia

    Jul 02, 2021 05:04

    Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia "Kremlin" amesema, katika mazingira ya sasa ya kuendelea kulindwa mlingano wa silaha za nyuklia hakuna uwezekano wa kuanza vita vikuu vya tatu vya dunia.

  • Merkel: Ulaya huru inapaswa kupunguza mivutano kati yake na Russia

    Merkel: Ulaya huru inapaswa kupunguza mivutano kati yake na Russia

    Jun 26, 2021 02:46

    Kansela wa Ujerumani amesema kuwa, Umoja wa Ulaya wenye nguvu za kiutawala na uhuru, unabidi ulinde manufaa ya nchi za bara hilo na ufanye mazungumzo na Russia kama yale yaliyofanyika baina ya rais wa Marekani, Joe Biden na Rais Vladimir Putin wa Russia.

  • Jenerali Gerasimov: Russia inalinda haki yake ya kutumia silaha za nyuklia kujibu mapigo

    Jenerali Gerasimov: Russia inalinda haki yake ya kutumia silaha za nyuklia kujibu mapigo

    Jun 24, 2021 22:59

    Kamanda wa Majeshi ya Russia amesema kuwa Moscow inalinda haki yake ya kutumia silaha za nyuklia kwa ajili ya kujibu mashambulizi ya mabomu ya nyuklia au silaha nyingine za mauajii ya umati dhidi ya nchi hiyo na waitifaki wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS