-
Sisitizo la Russia na China juu ya kurejea bila masharti Marekani katika mapatano ya JCPOA
Mar 24, 2021 07:51Wang Yi na Sergei Lavrov, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa China na Russia Jumatatu wiki hii tarehe 22 Machi walisiistiza udharura wa kurejea Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya masharti yoyote na kuondolewa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran.
-
Mivutano baina ya Magharibi na nchi mbili za Russia na China yazidi kuwa mikubwa
Mar 24, 2021 02:33Nchi mbili za Russia na China zimetaka kuitishwe kikao maalumu cha wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na kuongezeka sana mzozo baina ya nchi hizo mbili na Magharibi.
-
Lavrov asisitiza kuondolewa sarafu ya dola katika mzunguko wa mfumo wa fedha
Mar 22, 2021 03:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza utumiaji wa sarafu nyinginezo badala ya dola katika mabadilishano ya kibiashara.
-
Madharau ya Biden dhidi ya Putin, na mzozo wa aina yake katika uhusiano wa Marekani na Russia
Mar 19, 2021 06:00Uhusiano wa Marekani na Russia tangu Rais Joe Biden aliposhika madaraka ya nchi katika White House mwezi Januari mwaka huu umekuwa ukidorora siku baada ya nyingine huku Washington ikiendelea kuzidisha misimamo ya kihasama na kiuadui dhidi ya Russia. Sasa makabiliano baina ya nchi hizo mbili yamefikia kiwango cha vita vya maneno baina ya marais wa nchi hizo.
-
Marekani inafanya juu chini kuzizuia nchi nyingine duniani zisinunue chanjo ya Russia
Mar 16, 2021 08:49Kampuni ya Russia iliyotengeneza chanjo ya corona kwa jina la Sputnik -V k imeyataja mashinikizo ya Marekani kwa nchi nyingine duniani ili kuzizuia kununua chanj hiyo kuwa kitendo kisiho cha kimaadili.
-
Zakhrova: Magharibi haina uthubutu wa kuishambulia Russia kutokana na mifumo yake imara ya kiulinzi
Mar 15, 2021 04:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameweka wazi kuhusu uwezo wa kiulinzi wa nchi hiyo na kusema: Magharibi hivi sasa inaendesha vita vya kiintelijinsia dhidi ya Russia.
-
Nchi zilizoidhinisha kutumia chanjo ya Sputnik-v ya Russia zaongezeka hadi 50
Mar 12, 2021 23:06Idadi ya nchi zilizoidhinisha kuanza kutumia chanjo ya Sputnik-v ya Russia ya kukabiliana na maradhi ya Covid-19 zimefika 50.
-
Lavrov: Lengo la kikao cha Afghanistan huko Russia ni kusaidia mazungumzo kati ya Waafghani huko Qatar
Mar 12, 2021 23:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, mazungumzo ya amani ya Afghanistan huko Moscow mji mkuu wa Russia si kwa ajili ya kuyashindanisha na mazungumzo ya makundi ya Kiafghani huko Qatar ; bali yatafanyika kwa ajili ya kusaidia mchakato huo.
-
UAE : Vikwazo vya Marekani vinatatiza Syria kurudi katika Arab League
Mar 09, 2021 23:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ametoa mwito wa kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Serikali ya Biden kutekeleza hujuma za kimtandao dhidi ya Russia
Mar 09, 2021 01:19Duru moja ya habari iliyo karibu na chama tawala cha Dmocrat nchini Marekani imefichua kuwa, kuna uwezekano Washington wiki tatu za karibuni ikatekeleza silsila ya hujuma za kimtandao dhidi ya Russia.