Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Marekani na tuhuma mpya za kuwepo uhusiano kati ya Russia na Taliban

    Marekani na tuhuma mpya za kuwepo uhusiano kati ya Russia na Taliban

    Jul 02, 2020 20:09

    Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi na kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa kutumia kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 yaliyolenga sehemu kadhaa ndani ya ardhi ya Marekani. Wakati rais wa Marekani Donald Trump alipokuwa katika kampeni za uchaguzi wa urais wa mwaka 2016 na hata baada ya kuingia ikulu ya White House aliahidi kuwa atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Afghanistan. Hata hivyo pamoja na ahadi hiyo, askari wengi wa jeshi la Marekani wangaliko katika ardhi ya Afghanistan.

  • Russia yazikosoa nchi za Magharibi kuhusu madai yao ya kutaka kuisaidia Syria

    Russia yazikosoa nchi za Magharibi kuhusu madai yao ya kutaka kuisaidia Syria

    Jul 01, 2020 06:53

    Russia imekosoa mienendo inayokinzana ya nchi za Magharibi ya kuiwekea vikwazo vya uchumi Syria na wakati huo huo zinaitisha mkutano wa kukusanya misaada eti ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa nchi hiyo.

  • Ukosoaji wa Putin kwa hatua za upande mmoja za Magharibi chini ya uongozi wa  Marekani

    Ukosoaji wa Putin kwa hatua za upande mmoja za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani

    Jun 29, 2020 22:03

    Njama za nchi za Magharibi za kutaka kuyatwisha mataifa mengine shabaha na malengo yake zimekumbwa na upinzani wa nchi nyingine duniani. Hasa ikitiliwa maanani kuwa nchi za Magharibi hususan Marekani siku zote zimekuwa zikitaka kuidhibiti dunia na kutwisha misimamo na hatua zake za upande mmoja duniani.

  • Kremlin nayo yapinga madai ya New York Times kuhusu mauaji ya wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan

    Kremlin nayo yapinga madai ya New York Times kuhusu mauaji ya wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan

    Jun 29, 2020 21:59

    Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, amesema kuwa madai yaliyotolewa na gazeti la New York Time kwamba Moscow imeshirikiana na wapiganaji wa kundi la Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan ni ya uongo.

  • Russia yakanusha madai ya kushirikiana na Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan

    Russia yakanusha madai ya kushirikiana na Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan

    Jun 27, 2020 22:04

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekadhibisha madai yaliyotolewa na gazeti la New York Times kwamba Moscow imeshirikiana na wapiganaji wa kundi la Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan.

  • Njama za Marekani za kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kupitia Baraza la Usalama la UN

    Njama za Marekani za kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kupitia Baraza la Usalama la UN

    Jun 25, 2020 22:02

    Marekani imeanzisha kampeni kubwa za kimataifa za kulizuia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lisitekeleze azimio lake nambari 2231 linalotoa amri ya kuiondolea Iran vikwazo vya silaha ifikapo tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020. Marekani inaendesha njama hizo kama sehemu ya kukabiliana na uwezo mkubwa wa kiulinzi na kijeshi wa Iran unaozidi kukua na kuwa imara siku baada ya siku.

  • Kumalizika mapema mazungumzo ya Marekani na Russia kuhusu udhibiti wa silaha za nyuklia

    Kumalizika mapema mazungumzo ya Marekani na Russia kuhusu udhibiti wa silaha za nyuklia

    Jun 23, 2020 22:01

    Moja ya hitilafu kubwa na za kimsingi za Russia na Marekani kuhusiana na kuongezwa muda wa mikataba ya kudhibiti silaha inahusiana na mkataba wa kistratijia wa silaha za nyuklia wa New START.

  • Russia na China zakosoa azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA dhidi ya Iran

    Russia na China zakosoa azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA dhidi ya Iran

    Jun 19, 2020 23:37

    Russia na China zimekosoa hatua ya kupasishwa azimio dhidi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

  • Zarif: IAEA haifai kuwa chombo cha kutumiwa na Marekani kuharibu mapatano ya JCPOA

    Zarif: IAEA haifai kuwa chombo cha kutumiwa na Marekani kuharibu mapatano ya JCPOA

    Jun 16, 2020 22:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki haufai kubadilishwa na kuwa chombo cha Marekani kuharibu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).

  • Zarif: IAEA haifai kuwa chombo cha kutumiwa na Marekani kuharibu mapatano ya JCPOA

    Zarif: IAEA haifai kuwa chombo cha kutumiwa na Marekani kuharibu mapatano ya JCPOA

    Jun 16, 2020 20:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki haupasi kubadilishwa kuwa chombo cha Marekani kuharibu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS