-
Rwanda 'kuwatimua' wakimbizi wa Burundi
Feb 12, 2016 04:48Rwanda imesema itaanza kukabidhi wakimbizi raia wa Burundi walioko nchini humo kwa nchi ambazo ziko tayari kuwapokea.
-
Rwanda yakanusha kuwasaidia waasi wa Burundi (Sauti)
Feb 11, 2016 14:46Kwa mara ya kwanza tangu Rwanda iliposhutumiwa na Umoja wa Mataifa kuwa inawaunga mkono waasi ambao Burundi inasema wanahatarisha usalama wake, serikali ya Kigali imekanusha rasmi madai hayo