Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Mfalme wa Saudia atoa sharti kwa Marekani kabla nchi yake kuanzisha uhusiano na Israel

    Mfalme wa Saudia atoa sharti kwa Marekani kabla nchi yake kuanzisha uhusiano na Israel

    Sep 07, 2020 09:48

    Mfalme Salman bin Abdul-aziz wa Saudi Arabia amesema, nchi yake itaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa sharti la kuundwa kwanza nchi huru ya Palestina.

  • UN: Muungano wa Saudia ungali unaishambulia Yemen kwa mabomu yaliyopigwa marufuku

    UN: Muungano wa Saudia ungali unaishambulia Yemen kwa mabomu yaliyopigwa marufuku

    Sep 02, 2020 10:35

    Umoja wa Mataifa umeeleza katika ripoti kuwa, muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia unatumia mabomu yaliyopigwa marufuku ya vishada katika mashambulio yake dhidi ya mji wa al Hudaydah, magharibi mwa Yemen.

  • Amnesty yaitaka Saudia imwachie huru mwakilishi wa Hamas na mwanawe

    Amnesty yaitaka Saudia imwachie huru mwakilishi wa Hamas na mwanawe

    Aug 21, 2020 07:15

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty international limeeleza wasiwasi wake kuhusu afya ya mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, anayeshikiliwa jela nchini Saudi Arabia akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani.

  • Iran yapinga kimya cha wakala wa IAEA kuhusu shughuli za nyuklia za Saudia

    Iran yapinga kimya cha wakala wa IAEA kuhusu shughuli za nyuklia za Saudia

    Aug 14, 2020 22:29

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amepinga kimya cha Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu shughuli za siri za nyuklia za Saudi Arabia na silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Ripota wa UN: Mafaili zaidi ya timu za mauaji za utawala wa Saudia yako njia

    Ripota wa UN: Mafaili zaidi ya timu za mauaji za utawala wa Saudia yako njia

    Aug 11, 2020 03:37

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuhusu faili jipya la mrithi wa ufalme wa Saudia wa kuhusika na jaribio la kumuua afisa wa zamani wa intelijensia wa nchi hiyo aliyekimbilia Canada kuwa, mafaili zaidi ya timu za mauaji za Saudia yako njia na yatafichuliwa karibuni.

  • EU yaikosoa Saudi Arabia kutokana na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu

    EU yaikosoa Saudi Arabia kutokana na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu

    Aug 10, 2020 20:58

    Umoja wa Ulaya umeikosoa Saudi Arabia kutokana na kamatakamata na vifungo vya muda mrefu dhidi ya watetezi wa haki za wanawake nchini humo.

  • Bunge la Iraq kufungua faili la vibaraka za Saudia wenye mfungamano na Marekani

    Bunge la Iraq kufungua faili la vibaraka za Saudia wenye mfungamano na Marekani

    Aug 09, 2020 23:55

    Mjumbe wa Kamati ya Uhusiano wa Kigeni ya Bunge la Iraq amesema kuwa bunge hilo na jumuiya za wananchi zinafanya jitihada za kufungua faili la vibaraka wa Saudi Arabia wenye mfungamano na Marekani nchini Iraq.

  • UN yaukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa mienendo mibovu dhidi ya wanaharakati walioko jela

    UN yaukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa mienendo mibovu dhidi ya wanaharakati walioko jela

    Aug 04, 2020 22:54

    Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa hatua zake mbaya dhidi ya wanaharakati waliofungwa katika jela za nchi hiyo.

  • Mfalme wa zamani wa Uhispania akimbia nchi kwa kashfa ya mlungula wa Saudi Arabia

    Mfalme wa zamani wa Uhispania akimbia nchi kwa kashfa ya mlungula wa Saudi Arabia

    Aug 04, 2020 03:33

    Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos ameondoka nchini humo na kuelekea kusikojulikana wiki kadhaa baada ya kuhusishwa na ufisadi na kashfa ya kupokea mlungula kutoka kwa mfalme wa zamani wa Saudi Arabia.

  • Mpango wa Saudia na UAE wa kutorosha magaidi walioko gerezani Iraq

    Mpango wa Saudia na UAE wa kutorosha magaidi walioko gerezani Iraq

    Aug 01, 2020 07:01

    Mbunge mmoja nchini Iraq amefichukua kuhusu mpango wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu wa kutorosha wafungwa katika jela ya al Hoot nchini Iraq

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS