Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Dakta Muhammad Javad Zarif: Saudi Arabia haitaki uhusiano ulio sawa na Iran

    Dakta Muhammad Javad Zarif: Saudi Arabia haitaki uhusiano ulio sawa na Iran

    Jul 22, 2020 03:25

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuwa na uhusiano mzuri na Saudi Arabia, lakini inasikitisha kuwa, serikali ya Riyadh haitaki kuweko uhusiano ulio sawa baina yake na Iran.

  • Waitifaki wa Saudia na Imarati waendelea kutwangana risasi na kuuana nchini Yemen

    Waitifaki wa Saudia na Imarati waendelea kutwangana risasi na kuuana nchini Yemen

    Jul 15, 2020 09:24

    Mapigano kati ya wanamgambo wa Baraza la Mpito linaloungwa mkono na Imarati na wale wanaoungwa mkono na Saudi Arabia katika mkoa wa Abyan kusini mwa Yemen yameshtadi na kupamba moto.

  • Saudia yakosolewa kwa kuruhusu maonyesho ya mitindo ya kifuska Madina

    Saudia yakosolewa kwa kuruhusu maonyesho ya mitindo ya kifuska Madina

    Jul 10, 2020 20:13

    Utawala wa Saudia Arabia, ambao watawala wake kwa muda mrefu wanajinadi kuwa eti ni 'wahudumu wa maeneo mawili matakatifu ya Waislamu ya Makka na Madina' umekosolewa vikali kwa kuruhusu maonyesho ya mavazi ya kifuska katika mji mtukufu wa Madina.

  • UN yataka kuachiwa huru wanaharakati wanawake walioko jela Saudi Arabia

    UN yataka kuachiwa huru wanaharakati wanawake walioko jela Saudi Arabia

    Jul 09, 2020 22:37

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limezitaka nchi nyingine duniani kuiwekea Saudi Arabia mashinikizo ili kuwaachia huru wanaharakati wa kijamii wanawake waliofungwa jela nchini humo.

  • Uturuki: Saudia haina ustahiki wa kuendesha kesi ya wauaji wa Khashoggi

    Uturuki: Saudia haina ustahiki wa kuendesha kesi ya wauaji wa Khashoggi

    Jul 06, 2020 06:48

    Mshauri wa Rais wa Uturuki amesisitiza kuwa, Saudi Arabia haina ustahiki wa kuendesha kesi za wauaji wa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa Saudia aliyeuliwa kinyama ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki.

  • Gazeti la Kisaudi lililomvunjia heshima Ayatullah Sistani lalazimika kubadilisha msimamo

    Gazeti la Kisaudi lililomvunjia heshima Ayatullah Sistani lalazimika kubadilisha msimamo

    Jul 04, 2020 23:36

    Malalamiko makubwa na upinzani mkali wa viongozi na mirengo tofauti ya kisiasa ya Iraq, sambamba na hatua nyingi zilizochukuliwa na wananchi na makundi ya muqawama wa Kiislamu katika mitandao ya kijamii dhidi ya hatua ya gazeti la Kisaudi la Ash-Sharqul-Awsat ya kuchora katuni ya kumvunjia heshima kiongozi wa juu wa kidini wa nchini Iraq, hatimaye zimepelekea gazeti hilo lilazimike kuondoa katuni hiyo.

  • Kamisheni ya UNESCO ya Yemen yataka Saudia ishtakiwe ICC

    Kamisheni ya UNESCO ya Yemen yataka Saudia ishtakiwe ICC

    Jun 23, 2020 23:18

    Kamisheni ya Kitaifa ya Yemen katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) imeutaka Umoja wa Mataifa uangalie upya uamuzi wake wa kufuta jina la Saudi Arabia na washirika wake katika vita vya Yemen kwenye orodha nyeusi ya nchi zinazoua watoto na kuvunja haki zao, na badala yake uwasilishe faili la jinai hizo katika Mahakama ya Kimataifa ya Jina (ICC).

  • Jeshi la Yemen latekeleza oparesheni ya kujihami ndani ya ardhi ya Saudia

    Jeshi la Yemen latekeleza oparesheni ya kujihami ndani ya ardhi ya Saudia

    Jun 23, 2020 06:16

    Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesema majeshi ya nchi hiyo yametekeleza oparesheni maalumu ndani kabisa ya ardhi ya Saudi Arabia.

  • Deni la Saudia laongezeka kwa asilimia 375 wakati wa Bin Salman

    Deni la Saudia laongezeka kwa asilimia 375 wakati wa Bin Salman

    Jun 22, 2020 03:00

    Data za Benki ya Dunia zinaonesha kuwa deni la nje la Saudi Arabia limepanda vibaya mno tangu Mohammad bin Salman alipopewa cheo cha kurithi kiti cha ufalme wa nchi hiyo.

  • Umoja wa Mataifa; mateka wa siasa za pesa na mabavu za Saudi Arabia na Marekani

    Umoja wa Mataifa; mateka wa siasa za pesa na mabavu za Saudi Arabia na Marekani

    Jun 19, 2020 03:40

    Mtazamo wa kindumakuwili wa Umoja wa Mataifa Kuhusu vita vya Yemen na suala la kushambuliwa shirika la mafuta la Aramco la Saudi Arabia, unaonyesha kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ambayo imepewa jukumu la kulinda amani na usalama duniani imesahau jukumu lake hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS