Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Ripoti ya UN: Wayemeni zaidi ya milioni 20 wanakabiliwa na hatari ya kupatwa na corona

    Ripoti ya UN: Wayemeni zaidi ya milioni 20 wanakabiliwa na hatari ya kupatwa na corona

    Jun 05, 2020 03:22

    Shirika la Programu na Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetangaza kuwa, zaidi ya Wayemeni milioni 20 wanasumbuliwa na njaa ya muda mrefu na wamo katika hatari ya kupatwa na virusi vya corona.

  • Hali ya kiafya ya kiongozi wa HAMAS anayeshikiliwa katika jela ya Saudia yazidi kuzorota

    Hali ya kiafya ya kiongozi wa HAMAS anayeshikiliwa katika jela ya Saudia yazidi kuzorota

    May 29, 2020 06:07

    Hali ya kiafya ya Muhammad Khidhri, mwakilishi wa harakati ya muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ambaye alitiwa mbaroni miezi kadhaa iliyopita nchini Saudia, imezidi kuwa mbaya.

  • Wakati Saudia na Imarati zinapoitumia vibaya Sudan na baadaye kuiacha

    Wakati Saudia na Imarati zinapoitumia vibaya Sudan na baadaye kuiacha "solemba"

    May 26, 2020 02:19

    Kwa muda sasa Sudan imebadilisha misimamo yake ya kisiasa kama njia ya kuvutia misaada ya kifedha kutoka kwa nchi kama Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Saudi Arabia lakini nchi hizo hazioneshi utashi wowote wa kuitatulia Khartoum matatizo yake zaidi ya kuitumia tu kufanikishia malengo yao binafsi.

  • Kufichuliwa kashfa ya Saudia ya kutuma maelfu ya magaidi nchini Iraq

    Kufichuliwa kashfa ya Saudia ya kutuma maelfu ya magaidi nchini Iraq

    May 25, 2020 00:02

    Kusambazwa faili la sauti katika mitandao ya kijamii kumepelekea kufichuliwa kashfa ya Saudi Arabia kutuma maelfu ya magaidi wa nchi hiyo kwenda Iraq katika miaka ya hivi karibuni.

  • Saudia yakumbwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi, mishahara yapunguzwa

    Saudia yakumbwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi, mishahara yapunguzwa

    May 06, 2020 06:57

    Janga la COVID-19 limeshadidisha mgogoro wa kiuchumi Saudia Arabia na sasa mishahara ya wafanyakazi katika sekta binfasi nchini humo imepunguzwa kwa asilimia 40.

  • Answarullah: Njia ya kuuokoa uchumi wa Saudia, ni kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen

    Answarullah: Njia ya kuuokoa uchumi wa Saudia, ni kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen

    May 04, 2020 03:45

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen amesisitiza kwamba, njia bora ya kuuokoa uchumi wa Saudia ni kwa nchi hiyo kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen.

  • Jumatatu tarehe 27 Aprili mwaka 2020

    Jumatatu tarehe 27 Aprili mwaka 2020

    Apr 26, 2020 20:09

    Leo ni Jumatatu tarehe 3 Ramadhani mwaka 1441 Hijria sawa na Aprili 27 mwaka 2020.

  • Waandishi wasio na mipaka wazitaka Misri na Saudia kuwaachia huru waandishi habari

    Waandishi wasio na mipaka wazitaka Misri na Saudia kuwaachia huru waandishi habari

    Apr 25, 2020 02:53

    Jumuiya ya Waandishi Habari Wasio na Mipaka imezitaka nchi za Saudi Arabia na Misri kuwaachia huru waandishi habari wanaoshikiliwa katika jela za nchi hizo ikitahadharisha kwamba, maisha ya wafungwa hao yamo hatarini kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.

  • Ripoti: Mamia ya Wanawafalme Saudia wanaugua corona

    Ripoti: Mamia ya Wanawafalme Saudia wanaugua corona

    Apr 18, 2020 07:09

    Kuna idadi kubwa ya wanawafalme katika Ufalme wa Saudi Arabia ambao wanaugua ugonjwa wa corona au COVID-19, na idadi yao kamili ni kubwa kuliko ile inayotangazwa na vyombo husika.

  • Alkhamisi, 16 Aprili, 2020

    Alkhamisi, 16 Aprili, 2020

    Apr 15, 2020 20:11

    Leo ni Alkhamisi tarehe 22 Shaabani 1441 Hijria sawa na Aprii 16 mwaka 2020.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS