-
Iran: Vikwazo vya Marekani katika sekta yetu ya mafuta na gesi vimefeli vibaya
Jan 24, 2021 23:01Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya Marekani katika sekta yetu ya mafuta na gesi vimeshindwa na kufeli vibaya.
-
Mashirika makubwa duniani yawania kuingia katika sekta ya gesi na mafuta Iran
May 08, 2016 02:50Kufuatia kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya Iran, hivi sasa mashirika makubwa ya dunia yako mjini Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sekta za mafuta, gesi na petrokemikali.
-
Tarehe 29 Esfand, Siku ya Kutaifishwa Sekta ya Mafuta Iran
Mar 18, 2016 03:00Tarehe 29 Isfand mwaka 1329 Hijria Shamsia sawia na Machi 20 1950 ni moja ya siku zenye kukumbukwa katika historia ya mapambano ya taifa la Iran na madola ya kibeberu.