-
Kiongozi Muadhamu: Serikali ina uwezo wa kukwamisha njama za Marekani
Jul 15, 2018 09:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, serikali ya taifa hili endapo itachukua hatua za lazima itaweza kuyapatia ufumbuzi matatizo na kusambaratisha njama za Marekani.
-
Leo ni siku ya maombolezo nchini kufuatia ajali ya kuporomoka jengo la Plasco
Jan 21, 2017 00:49Baraza la Mawaziri limetangaza kuwa leo ni siku ya maombolezo nchini kufuatia tukio la kuporomoka jengo la Plasco hapa mjini Tehran na kusababisha kufariki dunia askari kadhaa wa kikosi cha Zimamoto.
-
Wakazi wa Ukanda wa Ghaza waishukuru Iran kwa misaada katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Jun 09, 2016 09:45Wakazi wa Ukanda wa Ghaza wamewashukuru wananchi na serikali ya Iran kwa misaada ya kibinadamu wanayowapatia katika mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.