-
UN yatoa mapendekezo ya kuboresha hali ya Wapalestina
Aug 18, 2018 14:30Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mapendekezo kadhaa ya kuwasaidia watu wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika maandamano ya "Haki ya Kurejea" yaongezeka
May 12, 2018 04:16Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa Mpalestina mwingine mmoja ameuawa shahidi na wengine zaidi ya 170 wamejeruhiwa katika maandamano ya jana ya "Haki ya Kurejea". Hali za baadhi ya majeruhi zimeripotiwa kuwa mbaya.