-
Amnesty International yaikosoa Ufaransa kwa kuziuzia silaha Imarati na Saudi Arabia
Feb 22, 2018 04:47Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeikosoa vikali Paris kwa kuendelea kuiuzia Riyadh silaha na zana za kijeshi ambazo zinatumika vitani huko Yemen.