-
Ripoti: China inaimarisha silaha za nyuklia kukabiliana na tishio la Marekani
Apr 11, 2022 22:23Imedokezwa kuwa China imeongeza kasi ya upanuaji wa silaha zake za nyuklia baada ya tathmini mpya kuhusu tishio la Marekani kwa nchi hiyo.
-
Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia
May 23, 2021 06:27Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya hujuma yoyote ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa China.
-
Mazungumzo ya kupiga marufuku silaha za nyuklia yaanza New York, Marekani
Mar 27, 2017 08:37Mazungumzo ya kupiga marufuku silaha za nyuklia yameanza mjini New York Marekani bila ya kuwashirikisha wajumbe kutoka Russia, Marekani, Ufaransa na Uingereza.