-
Jinai mpya ya Marekani Somalia, Biden ameua Wasomali 465
Aug 22, 2022 02:21Shirika linalochunguza mashambulizi ya anga ya kimataifa limefichua kuwa Marekani inaficha idadi halisi ya vifo vya raia nchini Somalia na kwamba idadi ya waliopoteza maisha katika nchi hiyo ya Afrika ni mara 30 zaidi ya ile iliyotangazwa na Pentagon.
-
Waliouawa katika shambulio dhidi ya hoteli Mogadishu wapindukia 20
Aug 21, 2022 23:54Watu wasiopungua 21 wameuawa huku wengine 117 wakijeruhiwa, baada ya kundi la kigaidi la la al-Shabaab kuwashika mateka mamia ya watu katika hoteli moja huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Watu 10 wauawa Mogadishu katika shambulio la magaidi wa al-Shabab
Aug 20, 2022 03:24Kwa akkali watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu kufuatia hujuma na mashambulio ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabab.
-
Wanachama 13 wa genge la kigaidi la al Shabab waangamizwa Somalia
Aug 15, 2022 02:36Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wanachama 13 wa genge la kigaidi ukufurishaji la al Shabab wameangamizwa katika shambulio la anga lililofanywa katikati ya Somalia.
-
Waziri auawa katika shambulio la al-Shabaab msikitini Somalia
Jul 30, 2022 05:55Waziri wa Sheria wa jimbo la Kusini Magharibi mwa Somalia, Hassan Ibrahim Lugbur pamoja na mtoto wake wa kiume ni miongoni mwa watu kadhaa waliouawa katika shambulio la kundi la kigaidi la al-Shabaab lililolenga waumini waliokuwa wamekusanyika msikitini kwa ajili ya Swala mjini Baidoa, kusini mwa nchi.
-
Miripuko ya mabomu yaua watu kadhaa kusini mwa Somalia
Jul 27, 2022 21:54Kwa akali watu watano akiwemo afisa wa ngazi ya juu wa serikali wameuawa katika miripuko pacha ya mabomu iliyotokea jana Jumatano kusini mwa Somalia.
-
Tahadhari ya UN kuhusu kusitishwa misaada ya kibinadamu Somalia
Jul 25, 2022 06:40Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imeonya kuhusu kusimamishwa misaada ya kibinadamu nchini Somalia.
-
Marais wa EAC wajadili soko la pamoja Arusha, Somalia yataka uanachama
Jul 22, 2022 03:32Viongozi wa wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC), wameashiria miaka 11 tangu kuanzishwa kwa itifaki ya soko la pamoja na kusisitiza kuwa, kumekuwa na mafanikio makubwa ikiwepo kuongezeka kwa biashara, mitaji na ajira kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika na Mashariki.
-
Al-Shabaab yaua watu 17 katika shambulio karibu na Ethiopia
Jul 21, 2022 22:42Kundi la kigaidi la al-Shabaab la Somalia limefanya shambulio nadra karibu na nchi jirani ya Ethiopia, lililopelekea kuuawa watu wasiopungua 17, wakiwemo raia watatu.
-
AU yatuma askari polisi wapya 160 wa Nigeria huko nchini Somalia
Jul 15, 2022 22:16Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimepokea askari polisi 160 kutoka Nigeria, watakaikisaidia katika jitihada za kurejesha uthabiti katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.