Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • El Fasher, Hadithi ya Kuanguka Mji

    El Fasher, Hadithi ya Kuanguka Mji

    Nov 07, 2025 13:02

    El Fasher sio jina la mji tu; bali ni jeraha lililowazi la dhamiri ya dunia. Katika kipindi chetu leo, tunasimulia mzingiro uliozuia mkate wa watu, na hujuma iliokata pumzi za watoto. Ni simulizi fupi lakini sahihi, inayotuhimiza sisi sote kuelekeza mazingatio yetu kwa maafa ya binadamu yanayotokea huko Sudan....

  • Sudan: Jamii ya kimataifa ichukue hatua kusitisha utumaji silaha kwa wanamgambo wa RSF

    Sudan: Jamii ya kimataifa ichukue hatua kusitisha utumaji silaha kwa wanamgambo wa RSF

    Nov 05, 2025 03:42

    Sudan imekariri wito wake kwa jamii ya kimataifa ikitaka kufanyika juhudi za kuzuia mtiririko wa silaha kwa wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) na kulitaja kundi hilo kuwa "taasisi ya kigaidi."

  • Wasichotaka mkijue; Sudan, nchi ya dhahabu iliyonaswa na wafanyanjama wa kimataifa

    Wasichotaka mkijue; Sudan, nchi ya dhahabu iliyonaswa na wafanyanjama wa kimataifa

    Nov 05, 2025 02:34

    Sudan, ambayo kwa sasa imetumbukia katika kinamasi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe, ni nchi yenye nguvu na uwezo mwingi.

  • Mkuu wa WHO alaani kuuliwa wagonjwa na raia katika mji wa El Fasher nchini Sudan

    Mkuu wa WHO alaani kuuliwa wagonjwa na raia katika mji wa El Fasher nchini Sudan

    Oct 30, 2025 23:44

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO amelaani taarifa iliyoripotiwa kuhusu kuuliwa wagonjwa na raia kufuatia kushtadi machafuko katika mji wa El Fasher nchini Sudan. Tedros Adhanom Ghebreyesus ametaka kuhitimishwa uhasama.

  • IOM: Zaidi ya raia 7,400 wamekimbia makazi yao huko El-Fasher, Sudan

    IOM: Zaidi ya raia 7,400 wamekimbia makazi yao huko El-Fasher, Sudan

    Oct 29, 2025 04:01

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza kuwa watu wasiopungua 7,455 wamekimbia imji wa El fasher magharibi mwa Sudan katika muda wa siku moja kufuatia mashambulizi ya wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF).

  • Iran yalaani mashambulizi dhidi ya raia katika jimbo la Darfur, Sudan

    Iran yalaani mashambulizi dhidi ya raia katika jimbo la Darfur, Sudan

    Oct 29, 2025 03:30

    Wizara ya Mambo ya Nje imeelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu machafuko yanayoendelea katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, na kulaani mauaji ya raia na uharibifu wa miundombinu katika mji wa El-Fasher.

  • Wanamgambo wa RSF wadai kutwaa makao makuu ya jeshi la Sudan katika mji wa al Fasher

    Wanamgambo wa RSF wadai kutwaa makao makuu ya jeshi la Sudan katika mji wa al Fasher

    Oct 26, 2025 23:25

    Mapigano yalipamba moto jana Jumapili katika mji uliozingirwa wa al Fasher huko Sudan katika jimbo la Darfur Kaskazini, huku kundi la wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) likidai kuiteka kambi ya jeshi la Sudan (SAF).

  • Wanamgambo wa RSF waushambulia Uwanja wa Ndege wa Khartoum kwa siku ya tatu mtawalia

    Wanamgambo wa RSF waushambulia Uwanja wa Ndege wa Khartoum kwa siku ya tatu mtawalia

    Oct 23, 2025 07:32

    Wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) leo wamefanya wimbi la mashambulizi ya ndege zisizo na rubani (droni) katika Uwanja wa Ndege wa Khartoum kwa siku ya tatu mtawalia.

  • IOM: Licha hali ya tete ya usalama, zaidi ya watu milioni moja wamerejea mji mkuu wa Sudan, Khartoum

    IOM: Licha hali ya tete ya usalama, zaidi ya watu milioni moja wamerejea mji mkuu wa Sudan, Khartoum

    Oct 21, 2025 23:48

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, watu zaidi ya milioni moja wamerejea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, katika kipindi cha miezi 10 iliyopita licha ya kukosekana usalama wa kutosha katika mji huo kutokana na vita vinavyoendelea nchini humo.

  • Uwanja wa Ndege Khartoum washambuliwa na RSF  kabla ya kufunguliwa

    Uwanja wa Ndege Khartoum washambuliwa na RSF kabla ya kufunguliwa

    Oct 21, 2025 07:29

    Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vimeripotiwa kushambulia maeneo muhimu katika mji mkuu wa Sudan, ikiwa ni pamoja na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS