-
Wasudan waandamana kuulaani utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 11, 2022 07:09Wananchi wa Sudan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na utawala wa majenerali wa kijeshi nchini mwao.
-
Maandamano mapya ya Wasudan ya kupinga utawala wa kijeshi
Feb 08, 2022 04:18Mamia ya wananchi wa Sudan jana Jumatatu kwa mara nyingine tena waliandamana katika mji mkuu Khartoum kupinga utawala wa kijeshi nchini humo.
-
UN: Imarati inasaidia magenge ya watu wenye silaha magharibi mwa Sudan
Feb 06, 2022 01:11Umoja wa Mataifa umetoa ripoti yake maalumu na kusema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu unayasadia magenge yenye silaha katika jimboi la Darfur la magharibi mwa Sudan.
-
Maandamano ya Wasudani kupinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya nchi hiyo
Jan 27, 2022 08:22Raia wa Sudan wanaendelea kufanya maandamano wakipinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya nchi yao na wamemtaka mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuondoka nchini humo.
-
Afisa mmoja wa ngazi za juu wa kijeshi wa Sudan atembelea Ethiopia
Jan 22, 2022 10:32Afisa mmoja wa ngazi a juu wa Sudan ametembelea nchi jirani ya Ethiopia wakati huu ambapo nchi hizo mbili zina mzozo mkubwa wa mpaka.
-
The Wall Street Journal: Uasi wa kiraia nchini Sudan unachochewa na hali mbaya ya uchumi
Jan 19, 2022 07:57Gazeti la Kimarekani la "The Wall Street Journal" limeripoti kuwa uasi wa kiraia ulioanza jana Jumanne nchini Sudan unazidisha mzozo kati ya waandamanaji na majenerali wa jeshi la nchi hiyo.
-
Wapinzani Sudan watoa wito wa kufanyika uasi wa kijamii
Jan 19, 2022 04:45Muungano wa kisiasa wa Uhuru wa Mabadiliko nchini Sudan umetoa taarifa ukiwahimzia wananchi kufanya uasi wa kijamii.
-
Madaktari Sudan waandamana kulaani ukandamizaji wanaotendewa na jeshi
Jan 17, 2022 04:21Madaktari nchini Sudan wameshiriki katika maandamano kulaani vikali ukandamizaji na mabavu yanayotumiwa dhidi ya madaktari na wauguzi wanatoa huduma wakati wa maandamano dhidi ya mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
-
Matangazo ya al Jazeera Mubasher yazuiwa huko Sudan
Jan 16, 2022 23:10Kibali cha kufanya shughuli za matangazo ya televishen ya al Jazeera Mubasher kimefutwa nchini Sudan kutokana na kile kilichoelezwa na Khartoum kuwa ni kutangaza matangazo yyasiyozingatia utaalamu wa matukio ya Sudan.
-
Usalama waimarishwa Khartoum Sudan; maandamano mengine yatarajiwa
Jan 12, 2022 04:45Serikali ya kijeshi ya Sudan ambayo katika siku za karibuni imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa za malalalamiko na maandamano ya wananchi, imeimarisha usalama katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.