-
Kuendelea mgogoro wa Sudan; sambamba na kukataliwa mpango wa Umoja wa Mataifa
Jan 11, 2022 05:56Katika hali ambayo mgogoro wa Sudan ungali unaendelea kutokota, Jumuiya ya Wafanyakazi imetangaza kupinga mpango wa Umoja wa Mataifa wa kufanyika mazungumzo na wanajeshi wenye mamlaka ambao kimsingi ndio wanaoongoza nchi hiyo hivi sasa.
-
Umoja wa Mataifa waja na mpango mpya wa kutatua mgogoro wa Sudan
Jan 10, 2022 09:12Televisheni ya Sky News ya lugha ya Kiarabu imetoa ufafanuzi kuhusu mpango mpya wa Umoja wa Mataifa wa kutatua mgogoro wa Sudan.
-
Wanataaluma wa Sudan wapinga mazungumzo ya UN
Jan 09, 2022 09:57Chama cha Wanataaluma cha Sudan ambacho kiliongoza maandamano ya wananchi yaliyopelekea kung'olewa madarakani utawala wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Omar al Bashir, kimetangaza kuwa hakiungi mkono mazungumzo yaliyoitishwa na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kujaribu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Baraza la Usalama la UN kujadili mgogoro wa Sudan
Jan 08, 2022 08:56Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kukutana Jumatano ijayo kujadili mgogoro wa kisiasa unaoikabili Sudan kwa miezi kadhaa sasa, huku wananchi wa nchi hiyo wakiendeleza maandamano yao ya kupinga utawala wa kijeshi.
-
Maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi yaendelea nchini Sudan
Jan 07, 2022 00:19Wananchi wa Sudan wameendeleza maandamano yao ya kupinga utawala wa kijeshi na kwa mara nyingine wamewashinikiza wanajeshi warejee makambini na waruhusu raia waendeshe masuala ya kisiasa na kiutawala ya nchi hiyo.
-
Kujiuzulu Waziri Mkuu Hamdok na kushitadi mgogoro wa kisiasa nchini Sudan
Jan 04, 2022 23:10Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye Jumapili usiku alitangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.
-
Katibu Mkuu wa UN alitaka jeshi Sudan liache kushambulia waandamanaji
Jan 04, 2022 09:16Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amevisihi vikosi vya usalama nchini Sudan vizingatie wajibu wao juu ya uhuru na haki ya kuandamana na kujieleza, kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 25 mwezi Oktoba mwaka uliopita wa 2021.
-
Hatimaye Waziri Mkuu wa Sudan atangaza rasmi kujiuzulu
Jan 03, 2022 04:14Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.
-
Askari wa Sudan watawanya maandamano kwa kutumia gesi ya kutoa machozi, raia wawili wauawa Khartoum
Jan 02, 2022 23:07Askari usalama wa Sudan jana Jumapili waliwatawanya waandamanaji kwa kutumia gesi ya kutoa machozi huku huduma ya inteneti ikivurugika.
-
Jumamosi, Mosi Januari, 2022
Dec 31, 2021 23:24Leo ni Jumamosi tarehe 27 Mfunguo Nane Jamadil-Awwal 1443 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Januari 2022 Miladia.