Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Waandamanaji wanne wauawa Sudan wakidai utawala wa kiraia, UN yalaani

    Waandamanaji wanne wauawa Sudan wakidai utawala wa kiraia, UN yalaani

    Dec 31, 2021 04:48

    Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan (UNITAMS), ameeleza kuchukizwa kwake mno kutokana na ripoti kwamba waandamanaji 4 waliuawa katika maandamano yaliyofanyika jana Alkhamisi nchini Sudan ambako wanachi wanaendelea kupinga utawala wa kijeshi.

  • 38 waaga dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka Sudan

    38 waaga dunia baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka Sudan

    Dec 29, 2021 04:21

    Makumi ya watu wamefariki dunia baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu nchini Sudan.

  •  Hamdok aweka wazi nia yake ya kujiuzulu kiti cha Waziri Mkuu wa Sudan

    Hamdok aweka wazi nia yake ya kujiuzulu kiti cha Waziri Mkuu wa Sudan

    Dec 28, 2021 08:09

    Waziri Mkuu wa Sudan ametangaza kuwa hana hamu ya kuendelea kufanya kazi na ametaka kuteuliwa Waziri Mkuu mwingine kwa ajili ya nchi hiyo.

  • Wanawake nchini Sudan waandamana, wapinga kubakwa waandamanaji wa kike

    Wanawake nchini Sudan waandamana, wapinga kubakwa waandamanaji wa kike

    Dec 24, 2021 12:22

    Hali ya taharuki imetanda katika duru za Sudan kwa siku kadhaa sasa, huku habari zikisambaa kuwa idadi kubwa ya vijana wa kike walibakwa na kunyanyaswa walipokuwa wakishiriki maandamano Jumapili iliyopita dhidi ya utawala wa kijeshi.

  • Kuendelea mgogoro nchini Sudan sambamba na kukandamizwa wapinzani

    Kuendelea mgogoro nchini Sudan sambamba na kukandamizwa wapinzani

    Dec 21, 2021 06:05

    Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan ungali unaendelea. Akthari ya raia wa Sudan wameendelea kujitokeza katika barabara na mitaa ya miji mbalimbali ya nchi hiyo wakionyesha upinzani wao dhidi ya utawala wa kijeshi na kusisitiza kueendeleza maandamano hadi demokrasia itakapochukua mkondo wake.

  • Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Sudan

    Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Sudan

    Dec 15, 2021 23:24

    Licha ya kupita wiki kadhaa tokea aliporejea madarakani Abdalla Hamdok kama waziri mkuu wa Sudan, na jeshi la nchi hiyo kuafiki aunde serikali isiyo ya kijeshi lakini mgogoro wa kisiasa bado haujamalizika, kwani wananchi wanaendeleza maandamano mitaani.

  • UN yasikitishwa na uvunjaji wa haki za binadamu nchini Sudan

    UN yasikitishwa na uvunjaji wa haki za binadamu nchini Sudan

    Dec 11, 2021 04:41

    Timu ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan imeelezea kusikishwa kwake na kuongezeka vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu nchini humo.

  • Al Burhan: Jeshi la Sudan litaacha siasa baada ya uchaguzi wa 2023

    Al Burhan: Jeshi la Sudan litaacha siasa baada ya uchaguzi wa 2023

    Dec 05, 2021 02:49

    Mkuu wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, amesema kwamba jeshi litaondoka kwenye uwanja wa siasa baada ya uchaguzi uliopangwa kufanyika 2023, na kuongeza kuwa kuna "ishara nzuri" zinazohusiana na uungaji mkono mpya wa jamii ya kimataifa kwa Khartoum.

  • Radiamali ya Guterres kuhusu kupinga Wasudani kuwepo wanajeshi madarakani

    Radiamali ya Guterres kuhusu kupinga Wasudani kuwepo wanajeshi madarakani

    Dec 02, 2021 08:44

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewataka Wasudani kuwa na busara na kuafiki mapatano yaliyosainiwa kati ya Waziri Mkuu na jeshi la nchi hiyo kwa lengo la kudhamini kipindi cha amani cha mpito kuelekea kuundwa serikali ya kiraia huko Sudan.

  • Wasudan waandamana kupinga utawala wa wanajeshi

    Wasudan waandamana kupinga utawala wa wanajeshi

    Dec 01, 2021 04:51

    Wananchi wa Sudan wangali wanaendeleza maandamano ya kupinga mapatano ya kisiasa yaliyofikiwa karibuni kati ya wanajeshi na Abdalla Hamdok, ili kumrejesha kiongozi huyo katika nafasi yake ya Waziri Mkuu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS