Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akosoa upuuzaji wa Umoja wa Ulaya kuhusu ugaidi wa Israel

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akosoa upuuzaji wa Umoja wa Ulaya kuhusu ugaidi wa Israel

    Apr 04, 2024 04:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa misimamo ya undumakuwili ya Umoja wa Ulaya na upuuzaji wake kuhusiana na jinai na vitendo vya kigaidi vya utawala ghasibu wa Israel.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran itaufanya utawala wa Israel ujutie uhalifu nchini Syria

    Kiongozi Muadhamu: Iran itaufanya utawala wa Israel ujutie uhalifu nchini Syria

    Apr 02, 2024 10:01

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Majenerali walioongoka wa Kiislamu katika shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria na kusisitiza kwamba: "Taifa la Iran litawafanya Wazayuni wajutie jinai hiyo na jinai zingine kama hiyo."

  • Rais Raisi: Wazayuni kamwe hawatofikia malengo yao haramu

    Rais Raisi: Wazayuni kamwe hawatofikia malengo yao haramu

    Apr 02, 2024 06:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia jinai na ugaidi uliofanywa jana Jumatatu na utawala wa Kizayuni wa kushambulia ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus Syria na kusema kuwa, Wazayuni wanapaswa kutambua kwamba ugaidi wao wa kinyama kama huo hauwezi kuwafanikishia malengo yao maovu.

  • Iran: Utawala wa Kizayuni ni tishio kwa usalama na amani ya dunia nzima

    Iran: Utawala wa Kizayuni ni tishio kwa usalama na amani ya dunia nzima

    Apr 02, 2024 06:36

    Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa na taasisi nyinginezo za kimataifa huko Geneva Uswisi amelaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus Syria na kusema kuwa Israel ni utawala unaohatarisha usalama wa dunia nzima na unapuuza kikamilifu hati ya Umoja wa Mataifa.

  • Balozi wa Iran Syria: Tutajibu mapigo kwa Israel sawa na ilivyoshambulia ubalozi wetu mdogo

    Balozi wa Iran Syria: Tutajibu mapigo kwa Israel sawa na ilivyoshambulia ubalozi wetu mdogo

    Apr 02, 2024 03:23

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo sawa na utawala wa Kizayuni wa Israel ulivyoshambulia ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus, Syria.

  • Watu 38 wauawa katika hujuma za anga za Israel Syria, Iran yalaani

    Watu 38 wauawa katika hujuma za anga za Israel Syria, Iran yalaani

    Mar 29, 2024 08:28

    Kwa akali watu 38 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji wa Aleppo (Halab) huko kaskazini mwa Syria.

  • Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kuisaidia Syria kuimarisha nguvu zake za kiulinzi na za kuzuia mashambulio

    Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kuisaidia Syria kuimarisha nguvu zake za kiulinzi na za kuzuia mashambulio

    Mar 17, 2024 02:28

    Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kutumia uwezo wake wote kuisaidia Syria katika kuimarisha ulinzi na uwezo wake wa kuzuia hujuma za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Syria: Kuunga mkono jinai za Netanyahu kumefichua dhati ya Wamagharibi

    Syria: Kuunga mkono jinai za Netanyahu kumefichua dhati ya Wamagharibi

    Mar 11, 2024 07:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kuendelea kuunga mkono jinai za kivita zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, uungaji mkono huo umefichua dhati halisi ya Wamagharibi.

  • Wanamuqawama washambulia kwa droni kambi ya wanajeshi vamizi wa Marekani huko Syria

    Wanamuqawama washambulia kwa droni kambi ya wanajeshi vamizi wa Marekani huko Syria

    Feb 22, 2024 03:36

    Wanamuqawama wameishambulia kambi ya kijeshi na vikosi vamizi vya Marekani huko mashariki mwa Syria kwa kutumia ndege isiyo na rubani (droni).

  • Viongozi wa Muqawama: Vita vya Ghaza si vita vya mwisho na Wazayuni

    Viongozi wa Muqawama: Vita vya Ghaza si vita vya mwisho na Wazayuni

    Feb 12, 2024 22:58

    Viongozi wa makundi mbalimbali ya muqawama wa Palestina wameonana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus Syria na kusisitiza kuwa, mapambano ya taifa la Palestina tangu Wazayuni walipovamia ardhi za taifa hilo zaidi ya miaka 75 iliyopita, vimekuwepo na vitaendelea hadi kila shibri ya ardhi ya Palestina itakapokombolewa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS