-
Al-Azhar yasema Taliban imekiuka sheria za Kiislamu kwa kuzuia wanawake kusoma vyuo vikuu
Dec 24, 2022 07:02Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri ameutaka utawala wa Taliban kuondoa marufuku ya elimu ya juu kwa wanawake nchini Afghanistan.
-
Umoja wa Mataifa na kutotoa kiti kwa serikali ya Taliban
Dec 17, 2022 11:29Umoja wa Mataifa umepuuza na kutupilia mbali takwa la serikali ya Taliban na hivyo kwa mara nyingine tena kukikabidhi kiti cha uwakilishi wa Afghanistan katika umoja huo kwa Nasir Ahmad Faiq Mwakilishi wa Kudumu wa Afghanistan katika Umoja wa Mataifa.
-
Kukaribia kumalizika muhula wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan
Nov 08, 2022 02:27Msemaji wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan amesema kipindi cha uongozi wa serikali hiyo kitamalizika baada ya muda si mrefu ujao.
-
Taliban: Ghairi ya Ashraf Ghani tumewatolea mwito shakhsia wote Waafghani wa kurudi nchini
Oct 23, 2022 11:52Msemaji wa tume ya serikali ya Taliban ya kuwasiliana na shakhsia wa Afghanistan waliokimbilia nje ya nchi amesema, ukiondoa rais wa zamani Ashraf Ghani, tume hiyo imewatumia salamu za kuwataka warudi nyumbani shakhsia wengine wote wa nchi hiyo walioko ughaibuni.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kwa wanamgambo wa Taliban
Oct 01, 2022 04:04Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Afghanistan (UNAMA) amekosoa vikali hatua ya wanamgambo wa Taliban wanaotawala nchini humo ya kutochukua hatua kuboresha haki za watu katika nchi hiyo hususan ya mabanati na wanawake na kuonya kuwa, yamkini subira ya jamii ya kimataiifa kuhusiana na utendaji wa wanamgambo hao ikafikia kikomo.
-
UNICEF yaitaka serikali ya Taliban ifungue skuli zote za wasichana Afghanistan
Sep 10, 2022 11:37Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeitaka serikali ya Taliban inayotawala Afghanistan izifungue skuli zote za wasichana nchini humo.
-
Waziri wa Afya wa serikali ya Taliban ya Afghanistan yupo ziarani nchini Iran
Sep 06, 2022 02:15Waziri wa Afya wa Serikali ya Taliban ya Afghanistan yupo ziarani hapa nchini Iran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa serikali hiyo.
-
Kuuawa Mawlawi Mehdi Mujahid, kamanda wa zamani wa Taliban kwa kulipinga kundi hilo
Aug 19, 2022 09:17Wizara ya Ulinzi ya Taliban nchini Afghanistan imetangaza habari ya kuuawa Mawlawi Mehdi Mujahid, kamanda wa zamani wa kundi hilo kutoka kabila la Hazara na ambaye alikuwa haridhishwi na utendaji wa kundi hilo. Kamanda huyo ameuawa kwa kupigwa risasi na Taliban huko Herat, magharibi mwa Afghanistan.
-
Mwaka mmoja wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan
Aug 10, 2022 05:28Mwaka mmoja umepita tangu kundi la Taliban lilipoingia tena madarakani nchini Afghanistan lakini inaonekana kuwa mateso na matatizo ya wananchi yameongezeka kuliko hata wakati nchi hiyo ilipokuwa inakaliwa kwa mabavu na Marekani na NATO katika miaka ya 2001 hadi 2021.
-
Mapigano yazuka baina ya askari wa mpakani wa Iran na wapiganaji wa Taliban
Jul 31, 2022 11:43Gavana wa mji wa Hirmand ulioko kaskazini ya mkoa wa Sistan na Baluchistan kusini mashariki mwa Iran amesema, yamezuka mapigano kati ya askari wa kikosi cha mpakani cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wapiganaji wa kundi la Taliban la Afghanistan.