-
Kaburi jingine la umati wa watu waliouawa na Daesh lagunduliwa kaskazini mwa Iraq
Mar 16, 2017 00:30Wafanyakazi wa masuala ya misaada wa Iraq wamegundua kaburi la pili la umati la watu waliouliwa kwa halaiki na genge la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Watu 40 wahukumiwa kifo Iraq kwa kuhusika na mauaji ya Speicher
Feb 18, 2016 13:06Mahakama Kuu ya Jinai nchini Iraq imetoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa watu 40 baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na mauaji yaliyofanywa kwenye kambi ya kijeshi ya Speicher katika mji wa Tikrit, kaskazini mwa nchi hiyo.