Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ubaguzi wa rangi

  • Wamarekani waendelea kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi

    Wamarekani waendelea kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi

    Jul 09, 2016 23:25

    Marekani imegubikwa na wingu zito la maandamano ya wananchi wanaopinga ukatili na mauaji yanayofanywa na polisi wazungu dhidi ya raia wenye asili ya Afrika.

  • UN yataka kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    UN yataka kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Myanmar

    Jul 02, 2016 03:30

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Haki za Binadamu nchini Myanmar ametoa wito wa kukomeshwa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo.

  • Kulalamikiwa vitendo vya kibaguzi vya Uingereza dhidi ya Waislamu

    Kulalamikiwa vitendo vya kibaguzi vya Uingereza dhidi ya Waislamu

    May 27, 2016 23:18

    Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya nchini Uingereza imeulalamikia vikali uamuzi wa kibaguzi wa saerikali ya nchi hiyo wa kuunda timu ya kuchunguza namna ya utekelezaji wa sheria na kanuni za Kiislamu nchini humo.

  • UN yatiwa wasi wasi na matamshi ya chuki na ubaguzi katika kampeni za US

    UN yatiwa wasi wasi na matamshi ya chuki na ubaguzi katika kampeni za US

    Apr 16, 2016 02:55

    Umoja wa Mataifa umekosoa vikali matamshi ya chuki na kichochezi yanayotolewa na baadhi ya wagombea na hususan wa chama cha Republican katika kampeni za urais nchini Marekani.

  • Dunia yakumbuka siku ya ubaguzi wa rangi

    Dunia yakumbuka siku ya ubaguzi wa rangi

    Mar 24, 2016 02:01

    Wapenzi wasikilizaji wiki hii tarehe 21 Machi ilikuwa ni siku ya kutokomeza ubaguzi wa rangi duniani. Siku hii hukumbukwa kwa mnasaba wa mauaji ya waandamanaji wazalendo Waafrikadhidi ya ubaguzi wa rangi, mjini Sharpeville, Afrika Kusini, tarehe 21, Machi, mwaka 1960. Katika tukio hilo, waandamanaji wapatao 60 walipigwa risasi na kuuawa na polisi wa utawala wa makabaru waliokuwa wakitawala nchi hiyo. Karibuni......@

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS