Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Mawaziri wa EU waiunga mkono Ufaransa dhidi ya Marekani katika mzozo wa nyambizi

    Mawaziri wa EU waiunga mkono Ufaransa dhidi ya Marekani katika mzozo wa nyambizi

    Sep 21, 2021 03:10

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Joseph Borrell amesema nchi wanachama wa umoja huo zimeonyesha uungaji mkono wao na mshikamano kwa Ufaransa katika mzozo wa nyambizi kati yake na Marekani.

  • Rais Macron awaomba radhi Waislamu wa Algeria kwa jinai zilizofanywa na nchi yake nchini humo

    Rais Macron awaomba radhi Waislamu wa Algeria kwa jinai zilizofanywa na nchi yake nchini humo

    Sep 20, 2021 22:11

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron jana Jumatatu aliwaomba radhi Waislamu wa Algeria kutokana na jinai ilizofanywa na Ufaransa katika nchi hiyo.

  • Kushadidi mivutano baina ya Marekani na Ufaransa, Paris yamwita nyumbani balozi wake mjini Washington

    Kushadidi mivutano baina ya Marekani na Ufaransa, Paris yamwita nyumbani balozi wake mjini Washington

    Sep 18, 2021 21:52

    Ufaransa imechukua uamuzi wa kumwita nyumbani balozi wake mjini Washington sambamba na kushadidi mivutano katika uhusiano wa serikali ya Paris na Marekani. Vilevile imechukua hatua ya kumrejesha nyumbani balozi wake nchini Australia kama hatua ya kuonesha malalamiko yake.

  • Baraza la Ulaya latahadharisha kuhusu hali mbaya ya wafungwa nchini Ufaransa

    Baraza la Ulaya latahadharisha kuhusu hali mbaya ya wafungwa nchini Ufaransa

    Sep 18, 2021 03:26

    Baraza la Ulaya limetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wafungwa katika jela za Ufaransa.

  • Wafaransa waendeleza maandamano  kupinga sheria za serikali kuhusu corona

    Wafaransa waendeleza maandamano kupinga sheria za serikali kuhusu corona

    Sep 05, 2021 06:22

    Wananchi wa Ufaransa wameendeleza maandamano kwa wiki ya nane mfululizo kupinga sheria kali ambazo serikali ya nchi hiyo imeziweka kukabiliana na maambukizi ya corona.

  • Rais Raisi: Tunakaribisha kustawisha uhusiano na Ufaransa kwa msingi wa kuheshimiana na kwa maslahi ya pamoja

    Rais Raisi: Tunakaribisha kustawisha uhusiano na Ufaransa kwa msingi wa kuheshimiana na kwa maslahi ya pamoja

    Aug 09, 2021 22:04

    Rais Ebrahim Rais amesema, serikali mpya ya Iran inakaribisha kustawisha uhusiano na Ufaransa kwa msingi wa kuheshimiana na kuzingatia maslahi ya pamoja.

  • Mwanaharakati wa Ufaransa: Sheria ya karibuni dhidi ya Uislamu inahalalisha ubaguzi dhidi ya Waislamu

    Mwanaharakati wa Ufaransa: Sheria ya karibuni dhidi ya Uislamu inahalalisha ubaguzi dhidi ya Waislamu

    Aug 02, 2021 05:44

    Mwanaharakati mmoja wa haki za binadamu wa nchini Ufaransa amesema kuwa sheria iliyopitishwa karibuni na bunge la nchi hiyo inahalalisha kisheria kufanyika ubaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu wa nchi hiyo.

  • Bunge la Ufaransa lapitisha muswada wa chuki dhidi ya Uislamu

    Bunge la Ufaransa lapitisha muswada wa chuki dhidi ya Uislamu

    Jul 25, 2021 22:07

    Bunge la Ufaransa Ijumaa lilipitisha muswada wenye chuki na ulio dhidi ya Uislamu uliopewa jina la eti 'mapambano dhidi ya wanaotaka kujitenga' licha ya kuwepo upinzani wa vyama kadhaa vya mrengo wa kushoto dhidi ya muswada huo.

  • Emmanuel Macron, mhanga wa ujasusi wa Wazayuni kupitia programu ya Pegasus

    Emmanuel Macron, mhanga wa ujasusi wa Wazayuni kupitia programu ya Pegasus

    Jul 23, 2021 03:52

    Gabriel Attal, Msemaji wa Serikali ya Ufaransa alisema Alhamisi kuwa Rais Emmanuel Macron aliitisha kikao cha Baraza la Ulinzi siku hiyo hiyo kwa ajili ya kuchunguza na kujadili ujasusi uliofanywa dhidi yake kupitia programu ya Kizayuni ya Pegasus.

  • Kirusi cha DELTA chapelekea hali ya corona Ufaransa kuwa mbaya sana

    Kirusi cha DELTA chapelekea hali ya corona Ufaransa kuwa mbaya sana

    Jul 21, 2021 21:57

    Waziri wa Afya wa Ufaransa amesema kuwa, hali ya maambukizi ya corona ni mbaya sana nchini humo kutokana na kuenea kirusi kipya cha DELTA ambacho kwa mara ya kwanza kiligunduliwa nchini India.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS