-
Kukiri Biden kushindwa Marekani kukabiliana na al Qaida; kufeli vita vya kimataifa dhidi ya ugaidi
Sep 13, 2021 12:07Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumamosi na pembeni mwa sherehe za mwaka wa 20 wa tangu kutokea mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani, alikiri kwamba yumkini kundi la kigaidi la al Qaida likarejea tena Afghanistan na kusisitiza kuwa, Washington haiwezi kupeleka wanajeshi kila sehemu ilipo al Qaida.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuenea ugaidi barani Afrika
Jul 25, 2021 08:26Katika ripoti yao mpya, wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema kuwa bara la Afrika limekuwa muhanga mkuu wa ugaidi katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2021 kutokana na kuenea makundi ya kigaidi kama Daesh na al-Qaida na makund mengine yaliyo chini ya udhibiti na ushawishi wa makundi hayo mawili.
-
Mishkini: Magharibi ikomeshe sera za undumakuwili mkabala na ugaidi
Jul 14, 2021 04:06Msemaji wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa, nchi za Magharibi zinapasa kukomesha mienendo yake ya undumakuwili kuhusiana na ugaidi.
-
Umoja wa Ulaya kutoa mafunzo kwa jeshi Msumbiji ili kupambana na Daesh
Jul 13, 2021 10:06Umoja wa Ulaya umeanzisha rasmi kampeni ya kijeshi ya kutoa mafunzo kwa vikosi vya ulinzi vya Msumbiji vinavyopambana na wanamgambo wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh huko katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado.
-
Uporaji wa mali ya Syria na Iraq, sababu ya mashinikizo ya wananchi ya kutaka wavamizi wa Kimarekani waondoke
Jun 22, 2021 02:31Kuwepo kwa majeshi vamizi ya Marekani katika eneo lolote la Magharibi mwa Asia na hata maeneo mengine ya dunia daima kumekuwa sababu ya ukosefu wa amani na mashaka na machungu kwa wakazi wa maeneo hayo, tofauti kabisa na madai yanayotolewa na serikali ya Washington.
-
Uzinduzi wa Stratijia ya Kitaifa ya Kupambana na Ugaidi wa Ndani nchini Marekani
Jun 17, 2021 03:37Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, Jumanne wiki hii ilizindua Stratijia ya Kitaifa ya Kupambana na Ugaidi wa Ndani (National Strategy for Countering Domestic Terrorism) ambayo imetayarishwa na Baraza la Usalama wa Taifa. Kwa mujibu wa hati hiyo, taasisi zote za utekelezaji ndani ya Marekani zinalazimika kupambana na aina mbalimbali za ugaidi wa ndani ya nchi hiyo.
-
Kero la ugaidi; 50 wauawa Burkina Faso na Nigeria
Jun 16, 2021 02:35Jeshi la Burkina Faso limetangaza kuwa magaidi 25 wameuliwa katika operesheni iliyofanywa na askari wa jeshi hilo.
-
UN yawawekea vikwazo vinara wa kundi la kigaidi la Al Shabab
Jun 15, 2021 07:42Vinara watatu wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab wameingizwa katika orodha ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa ili kusaidia serikali ya Somalia kupambana na kundi hilo.
-
Wanakijiji 90 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Nigeria
Jun 12, 2021 12:43Watu wasiopungua 90 wameuawa baada ya genge la watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia kijiji kimoja huko Kaskazini Magharibi mwa Nigeria.
-
Kushadidi harakati za ugaidi eneo la Afrika Magharibi
Jun 08, 2021 15:53Katika wiki za hivi karibuni kumeshuhudiwa kushadidi Harakati za makundi ya kigaidi katika eneo la Afrika Magharibi hasa Nigeria na nchi jirani. Katika hatua ya hivi kairbuni kabisa magaidi walishambulia kijiji kaskazini mwa Burkina Faso na kuua raia zaidi ya 160 huku wakitetekteza nyumba na masoko. Umoja wa Mataifa umetoa taarifa na kulaani hujuma hiyo ambayo imepelekea idadi kubwa ya raia kuuawa kwa umati.