Pars Today
Uchunguzi uliofanyika barani Ulaya uliochapishwa Jumatatu wiki hii umeonyesha kwamba karibu thuluthi moja ya wanafunzi au wafanyakazi katika vyuo vikuu wamepitia aina fulani ya unyanyasaji wa kingono.
Mahakama nchini Argentina imewahukumu makasisi wawili wa Kanisa Katoliki kifungo cha zaidi ya miaka 40 jela kila mmoja wao baada ya kupatikana na hatia ya kuwanyanyasa kingono wanafunzi 10 wa zamani wa shule ya viziwi ya kanisa hilo.
Serikali ya Zimbabwe imesema katu haitokubali wito wa Umoja wa Mataifa wa kukubali ushoga na ndoa za jinsia moja katika nchi hiyo ya Kiafrika.
Polisi nchini Australia inachunguza madai ya liwati dhidi ya Mkuu wa Hazina ya Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani Vatican, Kadinali George Pell.