-
Kuanzisha uchunguzi Polisi ya Ujerumani dhidi ya Rais wa Palestina kuhusiana na Holocaust; undumakuwili mwingine wa Magharibi
Aug 21, 2022 08:20Polisi ya Ujerumani imesema, imeanzisha uchunguzi dhidi ya Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa sababu ya kauli aliyotoa kuhusu Holocaust, yaani mauaji ya halaiki ya Wayahudi yanayodaiwa kufanywa na utawala wa Kinazi wa Ujerumani chini ya uongozi wa Adolf Hitler.
-
HAMAS yalaani hatua ya Polisi ya Ujerumani ya kufuatilia kauli ya Abbas kuhusu Holocaust
Aug 21, 2022 02:45Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, imelaani hatua ya maafisa wa Polisi ya Ujerumani ya kuamua kuchunguza matamshi aliyotoa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kusisitiza kuwa hatua hiyo inadhihirisha kuwa si kweli kama Berlin haipendelei upande wowote.
-
Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran alaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Ujerumani
Aug 12, 2022 08:09Vyuo vya Kiislamu nchini Iran vimelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Hamburg, Ujerumani.
-
Medvedev: Rais wa Ukraine anafuata fikra za Adolf Hitler
Aug 10, 2022 01:21Rais wa zamani wa Russia amesema fikra, mienendo na misimamo ya Rais wa Ukraine inafanana na ya mtawala wa zamani wa Ujerumani ya Manazi, Adolf Hitler.
-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani
Aug 08, 2022 06:59Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
-
Marekani yachochea moto, yaiuzuia ndege za kivita Ujerumani wakati huu wa mgogoro na Russia
Jul 31, 2022 07:27Serikali ya Marekani inaendelea na siasa zake za kuchochea vita kwa kuiuzia Ujerumani ndege za kivita kwa kisingizio cha kukabiliana na Russia katika mgogoro wa Ukraine.
-
Mgomo wa siku moja tu wafuta zaidi ya safari 1,000 za ndege nchini Ujerumani
Jul 29, 2022 07:00Shirika la ndege la Lufthansa la Ujerumani limelazimika kufuta zaidi ya safari elfu moja za ndege kutokana na mgomo wa siku moja wa wafanyakazi wake.
-
Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya
Jul 14, 2022 03:18Usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ujerumani kupitia bomba la "Nord Stream 1" katika Bahari ya Baltic, ulisimamishwa Jumatatu kwa muda wa siku 10.
-
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ujerumani latahadharisha: Kukatwa gesi asilia ya Russia kutalemaza viwanda vikubwa
Jul 05, 2022 01:00Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ujerumani ametahadharisha kuwa tetesi za kuwepo uwezekano wa kukatwa gesi asilia ya Russia kwa ajili ya Ujerumani zitalemaza viwanda vikubwa nchini humo.
-
Misikiti na maeneo matakatifu ya Waislamu yamehujumiwa zaidi ya mara 800 Ujerumani
Jun 14, 2022 07:51Kundi moja la kutetea haki za binadamu nchini Ujerumani limeripoti kuwa limesajili matukio zaidi ya 800 ya kushambuliwa misikiti na maeneo matakatifu ya Waislamu nchini humo.