-
Medvedev: Rais wa Ukraine anafuata fikra za Adolf Hitler
Aug 09, 2022 20:51Rais wa zamani wa Russia amesema fikra, mienendo na misimamo ya Rais wa Ukraine inafanana na ya mtawala wa zamani wa Ujerumani ya Manazi, Adolf Hitler.
-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani
Aug 08, 2022 02:29Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
-
Marekani yachochea moto, yaiuzuia ndege za kivita Ujerumani wakati huu wa mgogoro na Russia
Jul 31, 2022 02:57Serikali ya Marekani inaendelea na siasa zake za kuchochea vita kwa kuiuzia Ujerumani ndege za kivita kwa kisingizio cha kukabiliana na Russia katika mgogoro wa Ukraine.
-
Mgomo wa siku moja tu wafuta zaidi ya safari 1,000 za ndege nchini Ujerumani
Jul 29, 2022 02:30Shirika la ndege la Lufthansa la Ujerumani limelazimika kufuta zaidi ya safari elfu moja za ndege kutokana na mgomo wa siku moja wa wafanyakazi wake.
-
Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya
Jul 13, 2022 22:48Usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ujerumani kupitia bomba la "Nord Stream 1" katika Bahari ya Baltic, ulisimamishwa Jumatatu kwa muda wa siku 10.
-
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ujerumani latahadharisha: Kukatwa gesi asilia ya Russia kutalemaza viwanda vikubwa
Jul 04, 2022 20:30Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Ujerumani ametahadharisha kuwa tetesi za kuwepo uwezekano wa kukatwa gesi asilia ya Russia kwa ajili ya Ujerumani zitalemaza viwanda vikubwa nchini humo.
-
Misikiti na maeneo matakatifu ya Waislamu yamehujumiwa zaidi ya mara 800 Ujerumani
Jun 14, 2022 03:21Kundi moja la kutetea haki za binadamu nchini Ujerumani limeripoti kuwa limesajili matukio zaidi ya 800 ya kushambuliwa misikiti na maeneo matakatifu ya Waislamu nchini humo.
-
Iran yajibu matamshi ya Ufaransa, Ujerumani kuhusu meli za mafuta za Ugiriki
Jun 01, 2022 05:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki.
-
Polisi ya Ujerumani yamweka kizuizini mratibu wa EU katika mazungumzo ya nyuklia akitokea Iran
May 14, 2022 00:14Polisi ya Ujerumani jana ilimkamata na kumweka kizuizini kwa muda Enrique Mora, mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Umoja wa Ulaya anayehusika na uratibu wa mazungumzo ya nyuklia ya Vienna wakati anaelekea Brussels akitokea Iran.
-
Vikwazo vya dhahiri vya Magharibi dhidi ya Russia na ushirikiano mkubwa rasmi nyuma ya pazia
Apr 05, 2022 04:12Nchi za Ulaya zimetangaza vikwazo vya kila namna dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine lakini nchi hizo hizo za Magharibi zenyewe zinarejea mlango wa nyuma na kuvunja vikwazo vyao zenyewe. Awali nchi za Ulaya zilipinga vikali kununua mafuta na gesi ya Russia kwa sarafu ya Ruble lakini hivi sasa zimelegeza misimamo hata katika suala hilo nalo.